Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIZARA YA MAJI KUTENGA SHILINGI BILIONI 2, KUPELEKA MAJI MASHULENI NA VITUO VYA AFYA



Wanafunzi wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Tumaini iliyopo wilayani Iramba mkoani Singida wakifurahia kupata bomba la maji kwa ajili ya kutakasa mikono ili kujikinga na Covid 19 lililo jengwa na Wizara ya Maji kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mjini Singida (SUWASA)  Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Profesa Kitila Mkumbo (kulia) akika utepe kuashiria uzinduzi wa bomba la maji lililojengwa na wizara hiyo kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Vituo vya afya 286 havina maji Dodoma

VITUO 286 kati ya vituo vya afya 402 vilivyopo mkoani Dodoma havina maji kabisa na hivyo kuleta shida kubwa ya usafi binafsi kwa wanaofika kupata huduma katika vituo hivyo.

 

5 years ago

Michuzi

RC.GAMBO MALIZENI MIRADI YA MAJI NDANI YA MKATABA SANJARI NA KUFUNGA VIFAA VYA VITUO VYA AFYA


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Arusha alipofanya ziara ya kutembelea Kituo cha Afya Kaloleni kujionea shughuli mbalimbali kwenye kituo hicho ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya siku tatu kukagua miradi ya Afya na Maji kwenye Halmashauri zote za mkoa huo hii ikiwa ni ziara yake kwenye halmashauri ya jiji la Arusha mwishoni mwaka wiki picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha...

 

9 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA WASAMBAZA MAJI NCHI (AWAC) CHAWAKUTANISHA WADAU MBALIMBALI WA MAJI ILI KUJADILI NAMNA YA KULINDA NA KUVITUNZA VYANZO VYA MAJI

  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Luteni mstaafu Chiku Gallawa akisalimiana na viongozi wa Chama cha Wasambazaji maji(AWAC) pamoja na wadau mbalimbli wa maji mara baada ya kuwasili hotelini hapo kwa ajili ya ufunguzi wa kongamano.(Picha na John Banda wa Pamoja Blog)Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Luteni mstaafu Chiku Gallawa akizungumza jambo kwenye ufunguzi wakongamano la wadau wa maji lililoandaliwa na Chama cha wasambazaji wa maji (AWAC) na linalofanyika kwa siku tatu ili kujadili namna ya kupunguza...

 

9 years ago

Vijimambo

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YAZINDUA MFUMO WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA VITUO VYA AFYA TANZANIA BARA

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donan Mmbando (kulia), akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa mfumo wa taarifa ya vituo vya afya nchini uliofanyika Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Tehama wa   wizara hiyo, Hermes Rulagirwa na Ofisa wa Tehama, Kenani Mwansasu. Hapa ni kupongezana baada ya uzinduzi huo.
 Mkuu wa Kitengo cha Tehama wa   wizara hiyo, Hermes Rulagirwa (kulia), akizungumza na wanahabari. Wadau mbalimbali wa sekta ya Afya wakiwa kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA.

 kushoto Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally, akiwa na Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe wakizindua kisima cha maji.
 Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, pamoja naMkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally wote kwa pamoja wakifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya maji.  Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mvumi makulu Mkoani Dodoma.  Muonekano wa kisima kichozinduliwa.

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)

Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Danny Mrwanda, staa huyo ameingia kwenye headlines baada ya kuingia mkataba wa kuitumikia klabu ya Maji Maji FC ya Songea na kupewa malipo yake […]

The post Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Michuzi

Ujerumani yaipatia Serikali ya Tanzania Sh. Bilioni 39.1 kusaidia sekta ya afya, maji na maliasili.

Na Jenikisa Ndile-MAELEZO Serikali ya Tanzania na Ujerumani zimetiliana saini mikataba miwili ya misaada yenye thamani ya jumla ya Euro milioni 17 ambazo ni sawa na Tsh. Bilioni 39.1 kusaidia sekta ya afya, maji na maliasili.  Makubaliano hayo yamesainiwa jijini Dar es salaam kati ya Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Egon Kochanke ili kuleta mafanikio na maendeleo katika.  Aidha, Dkt. Likwelile...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani