BIL. 33 KUTUMIKA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIJAMII NCHINI
Na WAMJW.
Wizara ya Afya, kupitia Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia Jumla ya shilingi bilioni 33.195 ili kutekeleza shughuli mbalimbali za kijamii hususani zilizopewa kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2020/21.
Akiwasilisha Hotuba ya Wizara, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amesema katika mwaka wa fedha 2020/21 Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii inatarajia kutumia kiasi hicho cha fedha kwa lengo la kuimarisha huduma na mafunzo kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
RAIS MAGUFULI: SERIKALI ITAENDELEA KUIMARISHA NA KUBORESHA MIFUMO NA MIUNDOMBINU YA UTOAJI HUDUMA YA AFYA NCHINI

RAIS Dkt. John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake, Serikali imeweza kuajiri watumishi wapya 13479 wa sekta ya afya sambamba na kuimarisha na kuboresha miundombinu ya huduma za afya za ikiwemo ujenzi na ukarabati wa zahanati, vituo vya afya na hospitali za wilaya katika maeneo mbalimbali nchini.
Akizungumza leo Alhamisi (Februari 20, 2020) Jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya siku ya Madaktari Tanzania, Rais Magufuli alisema Serikali ya Awamu ya Tano...
5 years ago
Michuzi
SERIKALI YA JAPAN YAINGIA MIKATABA MINNE KUUNGA MKONO HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA VIJIJI NCHINI TANZANIA

Serikali hiyo ya Japan ikiwakilishwa na Balozi Goto Shinichi imeingia mkataba wa kusambaza magari ya wagonjwa katika hospitali ya KCMC wenye thamani ya dola za Kimarekani 52,996.
Mkataba mwengine ni pamoja na kusaidia mazingira ya elimu katika wilaya...
10 years ago
Vijimambo01 Sep
TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR.





Wananchi mbalimbali wakipatiwa huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni Zanzibar.
Mwashungi Tahir Maelezo-Zanzibar
Jumla ya madaktari bingwa tisa kutoka nchini china wakishirikiyana na madaktari wa hapa Zanzibar wameweza kutoa...
11 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Bil 18/- kutumika kwa chanjo
Serikali inatarajia kutumia kiasi cha shilingi bilioni 18 kwa ajili ya chanjo ya surua na ribela inayotarajiwa kutolewa Oktoba 18 mwaka huu nchini kote. Hayo yalisemwa na Ofisa mafunzo na...
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Sh700 bil kutumika kufuatilia Uchaguzi Mkuu
11 years ago
Habarileo17 May
Bil.6.8/-kutumika kulipa fidia Makambako hadi Songea
SERIKALI imetenga zaidi ya Sh bilioni 6.8 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi walioko kandokando mwa barabara kuu kutoka Makambako hadi Songea.
10 years ago
MichuziTIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR
5 years ago
CCM BlogWAZIRI BITEKO:SEKTA YA MADINI YAONGOZA KWA UKUAJI NCHINI. MAKUSANYO YAPAA KUTOKA BIL. 39 HADI BIL.58 APRILI
Nuru Mwasampeta na Tito Mselem,WM- Dodoma
WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji na mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la taifa unakua kwa kasi na kuwa mwaka 2019 mchango huo umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 kwa mwaka 2018.
Amesema, kwa ukuaji huo sekta ya madini imeongoza sekta zote kwa ukuaji ikifuatiwa na sekta ya ujenzi ikiwa na ukuaji wa asilimia 14.1.
Ameongeza kuwa, wizara yake imekuwa ikikusanya kiasi cha wastani wa shilingi bilioni 39 kwa...
10 years ago
GPL
SAME MASHARIKI: HUDUMA ZA KIJAMII ZINAVYOWATESA WANANCHI