TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR.
Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali, mkaazi wa Kisauni. PICHA NA ABDALLA OMAR – MAELEZO ZANZIBAR.
Dokta Fadhil Mohd ambae ni D0kta Dhamana Kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waadishi wa habari (hawapo pichani).
Wananchi mbalimbali wakipatiwa huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni Zanzibar.
Mwashungi Tahir Maelezo-Zanzibar
Jumla ya madaktari bingwa tisa kutoka nchini china wakishirikiyana na madaktari wa hapa Zanzibar wameweza kutoa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR
9 years ago
MichuziMADAKTARI WA CHINA NA WAZALENDO WAKISHIRIKIANA KUTOA HUDUMA ZA AFYA KATIKA KIJIJI CHA KITOPE MKOA WA KASKAZIN WILAYA YA KASKAZINI B” ZANZIBAR
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
Michuzi21 Apr
MADAKTARI BINGWA KUTOKA INDIA WATOA HUDUMA YA MATIBABU JIJINI ARUSHA
Akizungumza na waandishi wa habari katika kituo cha kutoa huduma kwamatibabu Arusha, Austin Makani alisema kuwa , madaktari bingwa haowanatoa ushauri kwa wagonjwa wenye matatizo ya Figo , Moyo, tumbo,saratani, mishipa ya fahamu, uti wa mgongo, upasuaji wa...
10 years ago
VijimamboMadaktari Diaspora kutoka Marekani wakitowa Huduma ya Elimu kwa Wanafunzi wa Chuo cha Eilimu ya Afya Kuhusiana na Saratani ya Matiti na Meno.Wakiwa Zanzibar
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-y4H957UjvOo/VZYaY-m6MNI/AAAAAAAAtI0/CAkGjtsT6nU/s72-c/unnamedh1.jpg)
Wananchi wa mkoa wa Shinyanga wafurahishwa na huduma za matibabu ya madaktari bingwa katika Hospitali ya Rufaa
Wakizungumza na mwandishi wetu aliyetembelea katika hospitali hiyo, mmoja wa wazee waliopata huduma ya matibabu ya ugonjwa wa moyo Bi. Salu Shinge amesema amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya moyo kwa muda mrefu lakini baada ya kuonana na Daktari bingwa siku ya Jumatatu na kuanza kutumia dawa, hali yake imbadilika na kwamba anajisikia...
5 years ago
CCM BlogMADAKTARI BINGWA WAENDELEA KUTOA HUDUMA KATIKA VITUO VYA AFYA MANISPAA YA UBUNGO
UBUNGO, Dar es Salaam
Manispaa ya Ubungo leo imeendelea kutoa huduma za afya kwa kutumia Madaktari Bingwa waliopo katika Manispaa ambapo leo madaktari hao wameanza kutoa huduma katika kituo cha Afya Kimara.
Huduma...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_awDbbKInbI/Xl463t0Xt3I/AAAAAAALgs0/lHgf_wQFVnMa38NJTw6Wp5TKsnJbJoLKwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-03%2Bat%2B13.53.57.jpeg)
MADAKTARI BINGWA WAANZA KUTOA HUDUMA KATIKA VITUO VYA AFYA MANISPAA YA UBUNGO
Amesema katika Wiki ya pili huduma zitahamia kituo cha Afya Kimara na wiki ya tatu litamalizia katika kituo cha Afya Makurumla. Dominic amesema huduma za kibingwa zitakuwa zikitolewa bure katika wiki zote tatu.
Aidha amesema Madaktari bingwa...
10 years ago
VijimamboUjumbe wa Madaktari Bingwa wa Jumuiya ya Watanzania Washington DC,MD,VA (DMV) Wawasili katika Bandari ya Zanzibar .