Ray Atoa ya Moyoni Wenzake Kutumika Kwenye Uchaguzi Huu
Kupitia ukurasa wake mtandaoni, staa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi ‘Ray’ afunguka haya kuelekea October 25 siki ya kupiga kura.
(FREEDOM OF SPEECH)
Kijana mwenye upeo mkubwa na kuona mbali anayetambua matatizo magumu ya chi hii hawezi hakapost ujinga kwa kusema chagua chama flani kwa kufuata mkumbo au kupewa maagizo na watu wenye maslahi yao binafsi.
Kwa kupost kitu ambacho hata akijui na wala yeye mwenyewe hana uhakika wa maisha yake ya baadaye dahaaa ni aibu kubwa sana kaa tafakari...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-oUvQTl0b_1k/VBHeCrjmC-I/AAAAAAAC7sY/s-uiGY5YLjk/s72-c/10683687_491115444359256_3412387166859006512_o.jpg)
Sh. bilioni 268 kutumika Uchaguzi Mkuu mwaka huu
![](http://3.bp.blogspot.com/-oUvQTl0b_1k/VBHeCrjmC-I/AAAAAAAC7sY/s-uiGY5YLjk/s640/10683687_491115444359256_3412387166859006512_o.jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, aliyasema hayo jana wakati akiahirisha Bunge mjini Dodoma na kuongeza kuwa maandalizi ya uchaguzi huo yanaenda vizuri.
Alisema vifaa mbalimbali kwa ajili kuufanikisha uchaguzi huo tayari vimeanza kununuliwa.
Pinda alisema kuwa miongoni mwa maandalizi ya uchaguzi huo ni uandikishaji wa daftari la kudumu la...
10 years ago
Bongo Movies08 Jul
Riyama Awataka Wanawake Wenzake Kuitazama Filamu Hii Kwenye Mwezi Huu wa Mfungo
Kutoka Steps Entertainment ‘THE SECOND WIFE’ ni filamu nzuri ya mafundisho ya dini,inapatikana kwenye maduka yote ya steps entertainment Tanzania nzima pata nakala yako ujifunze kitu ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani kutana na Vicent Kigosi ‘Ray’, Riyama Ally na wengine wengi
Wanawake wenzangu kama bado hujaiona hii basi Naomba ukaitafute inapatikana madukani kote ili upate kujifunza subira na Uvumilivu pindi mwanaume anapo amua kufanya maamuzi magumu pia kwa kakazangu na baba zangu...
10 years ago
Bongo Movies15 Feb
Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!
“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.
Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.
Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Ray Atoboa ya Moyoni Kuhusu Filamu ya OPRAH
“Ni kati ya movie ninazozipenda sana . pia naweza thubutu kusema ni movie iliyofanya mabadiliko makubwa sana kwenye film industry nchini kwetu Tanzania na nje ya mipaka yetu. pia ndiyo movie iliyomtangaza Irene Uwoya kwenye ulimwengu wa filamu. kwa hiyo nina kila sababu ya kuipenda movie hii. OPRAH HOT SUNDAY”. Ray ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandaoni mara baada ya kuweka picha ya kasha la filamu hiyo.
Wewe kama mdau unamaoni gani juu ya kazi hii ya OPRAH iliyotoboa mipaka ya nchi?...
11 years ago
Mwananchi25 Jun
Usajili huu mpya utamaliza shida kwenye uchaguzi?
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Zitto atoa ya moyoni
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (CHADEMA), amewaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watakaporejea Agosti 5, wapitishe rasimu ya pili ya katiba kama njia ya kumuenzi mama yake Shida...
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Bi. Hania atoa ya moyoni
MKALI wa filamu za Kibongo, Halima Issa ‘Bi Hania’, ameelezea kukerwa na kukithiri kwa tabia ya baadhi ya viongozi wa makundi ya sanaa kuendekeza vitendo vya ngono kwa wasanii wa...
10 years ago
Habarileo31 Jul
Ndugai atoa ya moyoni
MBUNGE wa Kongwa anayetetea nafasi yake, Job Ndugai amesema kumekuwa na njama za kumchafua ili kumharibia sifa yake kwani baadhi ya waliojitokeza kuwania ubunge katika jimbo hilo ni mapandikizi na wako kwa nia ya kufanya fujo.
9 years ago
Mwananchi06 Sep
DARUBINI YA MTATIRO : Wajibu wa wagombea na wananchi kwenye uchaguzi huu (1)