NEC yatoa Ratiba Rasmi ya Uchaguzi Mkuu.
![](http://3.bp.blogspot.com/-WBXIK59U1UU/VWLq1NMbGwI/AAAAAAAHZlw/OvUcLHDyC9c/s72-c/140131072218_tanzania_elections_512x288_afp.jpg)
Na Beatrice Lyimo-MAELEZOTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba rasmi kwa vyama vya Siasa na wananchi wote itakayotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Serikali unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.Kwa mujibu wa taarifa iliyosainiwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji wa Rufaa (Mst.) Damian Lubuva imesema kuwa kwa Mamlaka waliyopewa kwa mujibu wa vifungu vya 35B(1), (3) (a), 37 (1) (a) na 46 (1) vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, shughuli za uchaguzi zinatarajia kuanza hivi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Oi8IGTb-jSKc3Kp4A7O1whjBuDbIgDSGfxD1GXVKD4lZXCHpjavyxatOM-0TezbjynW89-q7O2*Uy-pWKznihlfYmHgyEpid/JAJILUBUVA.jpg)
NEC YATOA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8VOReEO-LQ/VZarLLbtGFI/AAAAAAAC8Nk/YqGgUG8Oxyc/s72-c/download-2.jpg)
NEC YATOA MWALIKO WA WAANGALIZI WA NDANI WA UCHAGUZI MKUU .
![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8VOReEO-LQ/VZarLLbtGFI/AAAAAAAC8Nk/YqGgUG8Oxyc/s640/download-2.jpg)
Na Jovina Bujulu.
Taasisi na Asasi mbalimbali zimetakiwa kutuma maombi kwenye ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu utatarajia kufanyika mwezi oktoba mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Tume hiyo leo jijini Dar es salaam, imezitaka taasisi na asasi zenye nia ya kuwa waangalizi wa Uchaguzi Mkuu ujao kuwasilisha maombi yao katika ofisi ya NEC kuanzia Julai 5 hadi Oktoba 6 mwaka huu.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa waombaji wanatakiwa kuwalisha maombi...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-cWDZTI8xshk/VhIKgzKPVqI/AAAAAAAACUI/Trpx0u-uBtA/s72-c/1.png)
TUME YA TAIFA TA UCHAGUZI YATOA RATIBA YA MABADILIKO YA MIKUTANO YA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA RAIS, 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-cWDZTI8xshk/VhIKgzKPVqI/AAAAAAAACUI/Trpx0u-uBtA/s640/1.png)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Vx3uvlGbi6I/VhIKg543f9I/AAAAAAAACUQ/Dc9fln4PkgA/s640/3%2Boktoba%2B2015.png)
![](http://2.bp.blogspot.com/-RFwFoYuRzww/VhIKhIzrxII/AAAAAAAACUM/OZ2T-GSuAa0/s640/4%2Boktoba%2B2015.png)
![](http://4.bp.blogspot.com/-FdQuBh595Mo/VhIKhy5CmDI/AAAAAAAACUY/rawgMs319Sk/s640/5%2Boktoba2015.png)
![](http://2.bp.blogspot.com/-P6ZB3jXFF6A/VhIKiqjQrDI/AAAAAAAACUs/Nuj8u6qC76c/s640/6%2Boktoba%2B2015.png)
![](http://4.bp.blogspot.com/-X0S7fWtlbP8/VhIKika2BNI/AAAAAAAACUo/UZ6w4KvIWW8/s640/7%2Boktoba%2B2015.png)
Chanzo: Tume ya Taifa ya Uchaguzi Blog
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-oMxIw3Q39IU/VdXtd-L3usI/AAAAAAAC90I/ioBnpqQJtQQ/s72-c/D.jpg)
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://1.bp.blogspot.com/-EjiVAw3G3pU/VkPzdJnzRTI/AAAAAAAAXFk/mvJ_VDbCVj8/s72-c/a1.png)
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aitembelea NEC kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015
Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema jana alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam.
Vifaa mbalimbali...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-q0xCtNigswU/VfSlvTq2VnI/AAAAAAABlxE/N41mk93CnoM/s72-c/11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o.jpg)
KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-q0xCtNigswU/VfSlvTq2VnI/AAAAAAABlxE/N41mk93CnoM/s640/11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-2wbNUQWxs8w/VfSlycBQWUI/AAAAAAABlxM/kATyAIcFBF8/s640/11930774_1465390323770465_1602462128218917504_o.jpg)
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Tume ya Taifa ya Uchaguzi yatoa ratiba ya mwendelezo wa Uboreshwaji wa Daftari la wapiga kura
Mkurugenzi wa idara ya habari ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bibi Ruth Masham.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi wanapatikana kwenye mitandao ya kijamii kupitia anuani zifuatazo.
http://tumeyataifayauchaguzi.blogspot.com
https://www.facebook.com/TumeyaTaifayaUchaguziTanzania https://www.youtube.com/channel/UCTA5ilGDEjAju3RbWhSORvw Follow @TumeYaUchaguzi http://www.hulkshare.com/TUME_YA_TAIFA_YA_UCHAGUZI Kwa maoni na ushauri waandikie Tume tumeyataifayauchaguzi@gmail.comTANGAZO NJOMBE.doc...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
NEC yatoa uhuru kwa waandishi siku ya uchaguzi