Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC YATOA RATIBA YA KUREJESHA FORM NA UTEUZI WA WAGOMBEA URAIS.


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

NEC yatangaza tarehe ya uteuzi wa wagombea

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu kwamba Agosti 21, mwaka huu itakuwa ni siku ya uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani.

 

5 years ago

Michuzi

MAMBO YAMEIVA CCM...WANAOTAKA KUGOMBEA URAIS WAPEWA RATIBA YA KUCHUKUA NA KUREJESHA FOMU

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimetengaza rasmi ratiba ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tekiti cha Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25,2020.
Akitangaza ratiba hiyo leo Juni 12,2020 jijini Dar es Salaa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Humphrey Polepole amesema ratiba ya kumpata mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanza Juni 15 mpaka...

 

10 years ago

GPL

NEC YATOA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (Nec), Jaji mstaafu Damian Lubuva. TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya Uchaguzi Mkuu kwa mwaka huu 2015. Katika taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Damian Lubuva ni kwamba; Agosti 21, 2015: Uteuzi wa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani. Agosti 22 - Oktoba 24, 2015: Kampeni za uchaguzi. Oktoba 25, 2015: Siku ya kupiga kura.… ...

 

9 years ago

Michuzi

Polisi: Wagombea Urais marufuku kuambatana na wapambe waati wa kuchukua, kutafuta wadhamini na kurejesha fomu

Na Lorietha Laurence –Maelezo
Jeshi la Polisi nchini limesitisha maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa kuchukua ,kutafuta  wadhamini, na kurejesha fomu za kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam Naibu Inspekta Jenerali wa jeshi la Polisi Abdulrahman  Kaniki (pichani) amesema kuwa jeshi limechukua hatua hiyo kutokana na ukiaukwaji wa sheria za usalama barabarani...

 

10 years ago

Michuzi

NEC yatoa Ratiba Rasmi ya Uchaguzi Mkuu.

Na Beatrice Lyimo-MAELEZOTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba rasmi kwa vyama vya Siasa na wananchi wote itakayotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Serikali  unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.Kwa mujibu wa taarifa iliyosainiwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo  Jaji wa Rufaa (Mst.) Damian Lubuva imesema kuwa kwa Mamlaka waliyopewa kwa mujibu wa vifungu vya 35B(1), (3) (a), 37 (1) (a) na 46 (1) vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi,  Sura ya 343, shughuli za uchaguzi zinatarajia kuanza hivi...

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yatangaza ratiba fomu za urais

Tume ya Uchaguzi (Nec) imetangaza kuanzia kesho, Jumamosi, wagombea wa nafasi ya urais wataanza kuchukua fomu za kuwania kiti hicho katika zoezi litakalodumu hadi Agosti 21, mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani