Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi: Wagombea Urais marufuku kuambatana na wapambe waati wa kuchukua, kutafuta wadhamini na kurejesha fomu

Na Lorietha Laurence –Maelezo
Jeshi la Polisi nchini limesitisha maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa kuchukua ,kutafuta  wadhamini, na kurejesha fomu za kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam Naibu Inspekta Jenerali wa jeshi la Polisi Abdulrahman  Kaniki (pichani) amesema kuwa jeshi limechukua hatua hiyo kutokana na ukiaukwaji wa sheria za usalama barabarani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

JESHI LA POLISI NCHINI LAPIGA MARUFUKU MISAFARA YA KWENDA KUCHUKUA FOMU NEC PAMOJA NA KUSAKA WADHAMINI

          Na Lorietha Laurence –Maelezo. 

Jeshi la Polisi nchini limesitisha maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa kuchukua ,kutafuta wadhamini, na kurejesha fomu za kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. 
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Naibu Inspekta Jenerali wa jeshi la Polisi Abdulrahman Kaniki amesema kuwa jeshi limechukua hatua hiyo kutokana na ukiaukwaji wa sheria za usalama barabarani...

 

5 years ago

Michuzi

MAMBO YAMEIVA CCM...WANAOTAKA KUGOMBEA URAIS WAPEWA RATIBA YA KUCHUKUA NA KUREJESHA FOMU

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimetengaza rasmi ratiba ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tekiti cha Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25,2020.
Akitangaza ratiba hiyo leo Juni 12,2020 jijini Dar es Salaa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Humphrey Polepole amesema ratiba ya kumpata mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanza Juni 15 mpaka...

 

9 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Wapambe, wapigadebe mnawaharibia wagombea urais

Tangu Agosti 22 hadi leo, tumesikia mambo mengi kutoka kwa wagombea uongozi wa ngazi mbalimbali ambao mwaka huu wamenuia kuingia madarakani.Tumewasikia wapambe wao, wengi ambao baadhi ya nyakati unaweza kujiuliza hivi wamelishwa au kunyweshwa nini mwaka huu hadi wanatujia  kwa jinsi walivyo, hasa pale wanapopanda kwenye majukwaa ili kuwanadi wagombea hao wanaowapenda.

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS WA CHADEMA KUREJESHA FOMU LEO

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUHUSU MGOMBEA URAIS KUREJESHA FOMU


Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa baada ya hatua ya kuchukua fomu ya kuwania uteuzi wa ndani ya chama kugombea nafasi ya urais, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa kesho (LEO) Agosti 1, 2015 atarejesha fomu yake kwa ajili ya taratibu zingine za ndani ya chama.

Shughuli hiyo itafanyika kuanzia saa 9.00 jioni, ambapo mgombea atakabidhi fomu  yake Ofisi ya Katibu Mkuu, Makao...

 

10 years ago

Habarileo

Shein kuchukua fomu ya urais Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein leo anatarajiwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini hapa.

 

9 years ago

Vijimambo

WAGOMBEA UWAKILISHI NA UDIWANI KWA TIKETI YA CHAMA CHA CUF WAFIKA OFISI ZA ZEC KUCHUKUA FOMU

Baadhi ya wagombea wa Uwakilishi kwa Cuf wa wilaya ya Mjini, Unguja wakiwa katika ofisi wa tume ya Tume Uchaguzi Zanzibar kuchukua fomu kuomba uteuzi.. Mmoja wa wagombea Uwakilishi kwa tiketi ya CUF akitia saini kitabu cha kupokea fomu kwa ajili ya uchaguzi wa Oktoba 2015  Msimamizi wa uchaguzi wa Wilaya ya Mjini Bi Mwanapili Khamis Moh’d akimkabidhi Fomu ya Uteuzi Mgombea wa Chama cha wananchi CUF .   Msimamizi wa uchaguzi wa Wilaya ya Mjini Bi Mwanapili Khamis Moh’d akimkabidhi Fomu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani