Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


January Makamba kuchukua fomu ya kuwania Urais

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

January Makamba kuchukua fomu ya Urais leo mjini Dodoma

IMG_6335

 MBUNGE wa jimbo la Bumbuli, mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

January Makamba alipokuwa akielekea kuchukua fomu ya Urais Mjini Dodoma

IMG-20150610-WA0004

January Makamba alipokua akielekea Dodoma Kuchukua Form ya Urais Baada ya kutangaza nia siku ya Jumapili jijini Dar es salaam.

IMG-20150610-WA0006

IMG-20150610-WA0002

IMG-20150610-WA0003

 

IMG-20150610-WA0001

IMG-20150610-WA0005

 

10 years ago

Michuzi

Makamba Kuchukua Fomu ya Urais Leo Mjini Dodoma

 MBUNGE wa jimbo la Bumbuli,mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba Baada ya Kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais katika ukumbi wa mikunano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Leo saa tano atachukua fomu ya kugombea urais Urais mwaka 2015  katika ofisi za makao makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mjini Dodoma.

 

10 years ago

Michuzi

January Makamba achukua Fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais 2015

MBUNGE wa jimbo la Bumbuli,mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba akisaini kuchukua  fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).  Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo.
January Makamba akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kushoto...

 

10 years ago

GPL

JANUARY MAKAMBA ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS 2015 JANA DODOMA

Mbunge wa jimbo la Bumbuli, mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, January Makamba  akisaini kuchukua  fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana.… ...

 

5 years ago

CCM Blog

MUSSA ABOUD JUMBE AJITOSA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

MWANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mussa Aboud Jumbe, akipokea mkoba wenye fomu za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Zazibar, kutoka kwa Katibu wa Idara ya Oganaizesheni Zanzibar, Galos Nyimbo, hapo ofisi ya chama Kisiwandui Mjini Unguja. Mussa ni mtoto wa Rais wa zamani wa Zanzibar, Hayati Aboud Jumbe. (PICHA ZOTE NA ABDALLA OMAR). 

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif achangiwa fedha za kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya urais wa zanzibar wakati utakapofika

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad,akipokea fedha taslim kiasi cha shilingi milioni mbili na laki tano, kutoka kwa Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja, Massoud Khamis, ili aweze kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar wakati utakapofika.Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akionyesha fedha alizokabidhiwa kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais. Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja, Massoud Khamis, akimkabidhi Katibu Mkuu wa Chama hicho...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA AWASILI MAKAO MAKUU YA CHADEMA KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS NDANI YA CHAMA HICHO HIVI PUNDE JIJINI DAR

Waziri Mkuu Mstaafu Mh.Edward Lowassa akiwa sambamba na Mkewe Mama Reginal akiwasili makao Makuu ya chama cha CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini Dar hivi punde ,kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho,Mhe.Lowassa amekihama chama chake cha CCM na kujiunga na UKAWA kupitia chama cha CHADEMA na kukabidhiwa kadi ya uanachama hivi karibu,jijini Dar es Salaam.  Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akiwasili ofisi za Makao makuu ya CHADEMA yaliyopo Kinondoni jijini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani