Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makamba Kuchukua Fomu ya Urais Leo Mjini Dodoma

 MBUNGE wa jimbo la Bumbuli,mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknologia, January Makamba Baada ya Kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais katika ukumbi wa mikunano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Leo saa tano atachukua fomu ya kugombea urais Urais mwaka 2015  katika ofisi za makao makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Mjini Dodoma.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

January Makamba kuchukua fomu ya Urais leo mjini Dodoma

IMG_6335

 MBUNGE wa jimbo la Bumbuli, mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

January Makamba alipokuwa akielekea kuchukua fomu ya Urais Mjini Dodoma

IMG-20150610-WA0004

January Makamba alipokua akielekea Dodoma Kuchukua Form ya Urais Baada ya kutangaza nia siku ya Jumapili jijini Dar es salaam.

IMG-20150610-WA0006

IMG-20150610-WA0002

IMG-20150610-WA0003

 

IMG-20150610-WA0001

IMG-20150610-WA0005

 

10 years ago

Michuzi

Wanasiasa watano wanatarajia kuchukua fomu ya kugombea urais mjini Dodoma leo


Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Idara ya Oganezesheni Dr Mohamed Seif Khatibu akizungumza na Waandishi wa Habari makao makuu Dodoma kuhushu ratiba ya kuchukua fomu leo  Wagombea Urais kupitia Chama hicho aliwataja kuwa ataanza Prof Mark  Mwandosya ,Stephen Wasira,Edward Lowasa, balozi Amina Salumu Ali na Charles Makongoro Nyerere  na Khatibu ndiye aliyepewa jukumu na Chama hicho kutoa fomu hizo.
Wanasiasa watano  wanatarajia kuchukua fomu ya kugombea urais  katika makao makuu ya chama cha...

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU KUCHUKUA FOMU ZA URAIS JUNI 7 MJINI DODOMA

Waziri wa mali asili  na utalii, Lazaro Nyarandu akiwa na waumini mbalimbali baada ya Ibada ya jumapili Jijini Arusha katika Kanisa la KKKT  Dayosisi ya Mjini Kati ambapo Waziri Nyarandu alitumia nafasi hiyo kutangaza rasmi siku atakayochukua fomu ya kuwania nafasi ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya kuwania Urais kupitia chama cha Mpindunzi .Waziri wa maliasili na utalii, Lazaro Nyarandu akibadilishana mawazo na Kada wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, James Ole Milya baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

PINDA AREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS MJINI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhavi fomu za kuwania Uteuzi wa CCM wa kugombea urais kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini DOdoma leoWaziri Mkuu,Mizengo Pinda akizunguza na waandishi wa habari  baada ya kurejesha fomu za kuwania Uteuzi wa CCM wa kugombea urais kwenye Ofisi Kuu ya CCM mjini Dodoma leo Juni 30, 2015.Wapili kulia ni mkewe Tunu na kulia ni mjukuu, michele (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Michuzi

Nyalandu achukua fomu ya kuwania urais wa tanzania mjini dodoma leo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akionyesha mkoba wenye fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kukabidhiwa katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Pembeni ni mkewe Bi. Faraja Nyalandu. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kuchukua fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Pembeni ni mkewe Faraja.Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA.

 Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi  CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Fomu zake za kuwania urais, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi, wakati alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu wa CCM mjini Dodoma leo kwa ajili ya kurejesha Fomu za kuwania urais katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu. Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal.  Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi  CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA.

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Fomu zake za kuwania urais, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Rajab Luhwavi, wakati alipowasili kwenye Ofisi za Makao Makuu wa CCM mjini Dodoma leo kwa ajili ya kurejesha Fomu za kuwania urais katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Mwezi Oktoba mwaka huu. Kulia ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilal.Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani