NYALANDU KUCHUKUA FOMU ZA URAIS JUNI 7 MJINI DODOMA
Waziri wa mali asili na utalii, Lazaro Nyarandu akiwa na waumini mbalimbali baada ya Ibada ya jumapili Jijini Arusha katika Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mjini Kati ambapo Waziri Nyarandu alitumia nafasi hiyo kutangaza rasmi siku atakayochukua fomu ya kuwania nafasi ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya kuwania Urais kupitia chama cha Mpindunzi .
Waziri wa maliasili na utalii, Lazaro Nyarandu akibadilishana mawazo na Kada wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, James Ole Milya baada ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMakamba Kuchukua Fomu ya Urais Leo Mjini Dodoma
10 years ago
Dewji Blog10 Jun
January Makamba kuchukua fomu ya Urais leo mjini Dodoma
MBUNGE wa jimbo la Bumbuli, mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Habarileo03 Jun
Nyalandu kuchukua fomu Juni 8
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu atahutubia wananchi mkoani Singida mwishoni mwa wiki hii, ikiwa ndio mwanzo wa kwenda kuchukua fomu za kugombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
10 years ago
Dewji Blog10 Jun
January Makamba alipokuwa akielekea kuchukua fomu ya Urais Mjini Dodoma
January Makamba alipokua akielekea Dodoma Kuchukua Form ya Urais Baada ya kutangaza nia siku ya Jumapili jijini Dar es salaam.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-2cygx0-5G2o/VW3cgUJm9OI/AAAAAAAAUag/WhD825wloqM/s72-c/seif%2Bkhatib.jpg)
Wanasiasa watano wanatarajia kuchukua fomu ya kugombea urais mjini Dodoma leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-2cygx0-5G2o/VW3cgUJm9OI/AAAAAAAAUag/WhD825wloqM/s640/seif%2Bkhatib.jpg)
Wanasiasa watano wanatarajia kuchukua fomu ya kugombea urais katika makao makuu ya chama cha...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-AIWt6vS06fQ/VXR1_aRNzYI/AAAAAAAHcyo/dVgq2NMCUOU/s72-c/unnamed%2B%2528100%2529.jpg)
Nyalandu achukua fomu ya kuwania urais wa tanzania mjini dodoma leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-AIWt6vS06fQ/VXR1_aRNzYI/AAAAAAAHcyo/dVgq2NMCUOU/s640/unnamed%2B%2528100%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-isFF2XKAnqI/VXR2MwdrHNI/AAAAAAAHcyw/JNDo5TABzGQ/s640/unnamed101.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5QVUjRbUzBw/VXR2OHKTT_I/AAAAAAAHcy4/EohR90Rihbg/s640/unnamed102.jpg)
10 years ago
Mtanzania28 May
Mwandosya kuchukua fomu ya urais Juni tatu
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya, anatarajia kuchukua fomu kuwania urais Juni tatu mwaka huu.
Mwandosya ambaye tayari ametangaza kuacha kuwani ubunge katika Jimbo la Rungwe Mashariki, anakusudia kutangaza nia yake ya kusaka safari ya kuelekea Ikulu, Juni Mosi, mwaka huu.
Akizungumza na Mtanzania jana nje ya viwanja vya Bunge, Profesa Mwandosya alisema sababu zilizomsukuma kuwania urais, atazitaja Juni Mosi atakapotangaza nia mkoani...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Pn5pTyRvB90/VX7XbBHIPLI/AAAAAAADr8Q/zT9OEH65Itw/s72-c/1.jpg)
MGOMBEA URAIS, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Pn5pTyRvB90/VX7XbBHIPLI/AAAAAAADr8Q/zT9OEH65Itw/s640/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-a2sfJois-6g/VX7XbHuaFNI/AAAAAAADr8M/kdC17FVDPPs/s640/2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-bxxMDbBKp2U/VX7NHAMzI0I/AAAAAAAHfno/38x_k9cxtgk/s72-c/1.jpg)
MGOMBEA URAIS, DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL, ARUDISHA FOMU ZA URAIS MJINI DODOMA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-bxxMDbBKp2U/VX7NHAMzI0I/AAAAAAAHfno/38x_k9cxtgk/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Th0M4TDJhIw/VX7NL2tYBnI/AAAAAAAHfn8/WVAxZ4Vr07g/s640/5.jpg)