Mwandosya kuchukua fomu ya urais Juni tatu
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya, anatarajia kuchukua fomu kuwania urais Juni tatu mwaka huu.
Mwandosya ambaye tayari ametangaza kuacha kuwani ubunge katika Jimbo la Rungwe Mashariki, anakusudia kutangaza nia yake ya kusaka safari ya kuelekea Ikulu, Juni Mosi, mwaka huu.
Akizungumza na Mtanzania jana nje ya viwanja vya Bunge, Profesa Mwandosya alisema sababu zilizomsukuma kuwania urais, atazitaja Juni Mosi atakapotangaza nia mkoani...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNYALANDU KUCHUKUA FOMU ZA URAIS JUNI 7 MJINI DODOMA
10 years ago
Habarileo03 Jun
Nyalandu kuchukua fomu Juni 8
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu atahutubia wananchi mkoani Singida mwishoni mwa wiki hii, ikiwa ndio mwanzo wa kwenda kuchukua fomu za kugombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
10 years ago
Habarileo27 Jun
Mwandosya arejesha fomu za urais
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya amerejesha fomu zake za kuwania kupeperusha bendera ya CCM katika nafasi ya urais.
10 years ago
Habarileo18 Jun
Shein kuchukua fomu ya urais Zanzibar
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein leo anatarajiwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini hapa.
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Mwananchi17 Aug
ACT-Wazalendo kuchukua fomu urais leo
10 years ago
Vijimambo
Urais 2015: Mwanamke wa 5 ajitosa kuchukua fomu CCM

Mwananmke mwingine ambaye ni kada wa CCM, Ritta Ngowi amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama kuwania urais katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu.Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu jana makao makuu ya CCM mkoani Dodoma Ngowi alisema akifanikiwa kuwa rais ataanzisha kituo kikubwa cha kuwahudumia wastaafu, walemavu, wasiojiweza na vijana.
Kingine atakachofanya ni kuendeleza mazuri yaliyofanywa na marais waliopita, lakini zaidi akiweka mkazo kwenye masuala ya elimu na kukuza...
10 years ago
MichuziMakamba Kuchukua Fomu ya Urais Leo Mjini Dodoma
10 years ago
Vijimambo05 Jun
MWIGULU NCHEMBA KUCHUKUA FOMU YA URAIS NDANI YA MASAA 12 YAJAYO
