Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONJO VYA WIKI: Wapambe, wapigadebe mnawaharibia wagombea urais

Tangu Agosti 22 hadi leo, tumesikia mambo mengi kutoka kwa wagombea uongozi wa ngazi mbalimbali ambao mwaka huu wamenuia kuingia madarakani.Tumewasikia wapambe wao, wengi ambao baadhi ya nyakati unaweza kujiuliza hivi wamelishwa au kunyweshwa nini mwaka huu hadi wanatujia  kwa jinsi walivyo, hasa pale wanapopanda kwenye majukwaa ili kuwanadi wagombea hao wanaowapenda.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Ndoto za wagombea zinaweza kuwadhuru kwenu

Safari siku zote huanza na hatua! Huu, ni usemi ambao umekuwa ukisikika au kuangukia kwenye ngoma ya sikio lako kwa miaka mingi na kuna uwezekano kuwa utaendelea kuusikia tena na tena mwaka huu, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.

 

9 years ago

Michuzi

Polisi: Wagombea Urais marufuku kuambatana na wapambe waati wa kuchukua, kutafuta wadhamini na kurejesha fomu

Na Lorietha Laurence –Maelezo
Jeshi la Polisi nchini limesitisha maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa kuchukua ,kutafuta  wadhamini, na kurejesha fomu za kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam Naibu Inspekta Jenerali wa jeshi la Polisi Abdulrahman  Kaniki (pichani) amesema kuwa jeshi limechukua hatua hiyo kutokana na ukiaukwaji wa sheria za usalama barabarani...

 

9 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Kampeni zimeanza, Watanzania tuwe makini

Ni dhahiri kuwa shughuli imeanza rasmi. Sasa ni wakati mwafaka wa kuona na kusikia ahadi lukuki za wagombea baada ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi ambao umebakiza siku 61 kufanyika kote nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Vijana wetu tumewatia kitanzini, tuwatoe

>Tumesikia kauli nyingi baadhi zikiwatoka viongozi wetu wa kada mbalimbali ambazo wakati mwingine zinakatisha tamaa.

 

10 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Usajili wa Lowassa Ukawa umeacha maswali yanayohitaji majibu

Nimeamini kuwa kumbe wanasiasa nchini mwetu siyo watu unaoweza kuwaamini, tena kwa asilimia 100.

 

9 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Sikieni, uchaguzi wa 11 ni kipimajoto cha umoja, utaifa wetu

Siku 68 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa 11 wa viongozi wakuu wa nchi, kwa maana ya rais,  wabunge na madiwani, kwa hakika tutarajie kuona mambo mengi.

 

10 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Angalieni msije kukosa mwana maji ya moto uchaguzi 2015

>Kwa kadri tunavyoikaribia siku ile ya Jumapili ya Oktoba 25 ambayo nakumbuka mwaka huu nilisema huenda ndiyo itakuwa siku ya uchaguzi mkuu wa viongozi wetu, yaani rais, wabunge na madiwani, tunasikia mambo mengi.

 

9 years ago

Habarileo

Wazee waonya wapigadebe wa urais

WAZEE wa vyama mbalimbali vya siasa mkoani hapa, wamecharuka na kutoa onyo kwa wapiga debe wa wagombea mbalimbali katika kampeni za uchaguzi, kama urais na ubunge, wanaotoa lugha chafu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wagombea urais waweke wazi vyanzo vya mapato yao

WANASIASA wanaogombea nafasi za juu za uongozi katika nchi zao, ukiwamo urais, kote duniani hupaswa kufanya maandalizi mengi kabla ya kufikia uamuzi huo. Miongoni mwa maandalizi hayo, kubwa zaidi ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani