Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONJO VYA WIKI: Ndoto za wagombea zinaweza kuwadhuru kwenu

Safari siku zote huanza na hatua! Huu, ni usemi ambao umekuwa ukisikika au kuangukia kwenye ngoma ya sikio lako kwa miaka mingi na kuna uwezekano kuwa utaendelea kuusikia tena na tena mwaka huu, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Wapambe, wapigadebe mnawaharibia wagombea urais

Tangu Agosti 22 hadi leo, tumesikia mambo mengi kutoka kwa wagombea uongozi wa ngazi mbalimbali ambao mwaka huu wamenuia kuingia madarakani.Tumewasikia wapambe wao, wengi ambao baadhi ya nyakati unaweza kujiuliza hivi wamelishwa au kunyweshwa nini mwaka huu hadi wanatujia  kwa jinsi walivyo, hasa pale wanapopanda kwenye majukwaa ili kuwanadi wagombea hao wanaowapenda.

 

11 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Vijana wetu tumewatia kitanzini, tuwatoe

>Tumesikia kauli nyingi baadhi zikiwatoka viongozi wetu wa kada mbalimbali ambazo wakati mwingine zinakatisha tamaa.

 

9 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Kampeni zimeanza, Watanzania tuwe makini

Ni dhahiri kuwa shughuli imeanza rasmi. Sasa ni wakati mwafaka wa kuona na kusikia ahadi lukuki za wagombea baada ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi ambao umebakiza siku 61 kufanyika kote nchini.

 

9 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Sikieni, uchaguzi wa 11 ni kipimajoto cha umoja, utaifa wetu

Siku 68 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa 11 wa viongozi wakuu wa nchi, kwa maana ya rais,  wabunge na madiwani, kwa hakika tutarajie kuona mambo mengi.

 

10 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Usajili wa Lowassa Ukawa umeacha maswali yanayohitaji majibu

Nimeamini kuwa kumbe wanasiasa nchini mwetu siyo watu unaoweza kuwaamini, tena kwa asilimia 100.

 

10 years ago

Mwananchi

VIONJO VYA WIKI: Angalieni msije kukosa mwana maji ya moto uchaguzi 2015

>Kwa kadri tunavyoikaribia siku ile ya Jumapili ya Oktoba 25 ambayo nakumbuka mwaka huu nilisema huenda ndiyo itakuwa siku ya uchaguzi mkuu wa viongozi wetu, yaani rais, wabunge na madiwani, tunasikia mambo mengi.

 

9 years ago

Mwananchi

Ndoto za wagombea urais

W agombea urais John Magufuli (CCM), Edward Lowassa (Chadema) na Anna Mghwira (ACT-Wazalendo), wanaendelea kuomba ridhaa ya Watanzania ili kuunda Serikali ya Awamu ya Tano, huku kila mmoja akija na sera anayoamini kuwa ni nzuri na tofauti  na mwenzake.

 

11 years ago

Dewji Blog

PPP zinaweza kupiga hatua iwapo zitaingia ubia na usimamizi na uendesaji kwenye vituo vya tiba

MGENI

Mgeni rasmi Bartolome Temba Katibu Tawala Msaidizi sekretarieti ya Mkoa wa Singida akaimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Singida Parseko Kone .

Na Hillary Shoo, Singida.

SEKTA ya Umma na sekta binafsi nchini (PPP),zinaweza kupiga hatua kubwa ya maendeleo katika utoaji huduma ya afya,iwapo zitaingia ubia wa usimamizi na uendeshaji kwenye vituo vya kutolea tiba hapa nchini.

Kaimu katibu tawala wa Mkoa wa Singida,Bartholome Temba ametoa rai jana mjini hapa  wakati wa mkutano wa uhamasishaji wa ubia...

 

10 years ago

Michuzi

January Makamba na ndoto ya vituo vya Michezo vya Kanda

Na Mwandishi WetuMbunge wa Bumbuli na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Habari na Masoko ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambaye hivi karibuni pia ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa January Makamba(Pichani juu)  hivi karibuni ameainisha adhma yake ya kuinua kiwango cha michezo nchini.
Azma hizo zimo katika  katika mazungumzo yake na Padre Privatus Karugendo ambayo yamechapishwa katika kitabu ambacho gazeti hili imekipata nakala yake ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani