VIONJO VYA WIKI: Kampeni zimeanza, Watanzania tuwe makini
Ni dhahiri kuwa shughuli imeanza rasmi. Sasa ni wakati mwafaka wa kuona na kusikia ahadi lukuki za wagombea baada ya kuanza kwa kampeni za uchaguzi ambao umebakiza siku 61 kufanyika kote nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 Mar
WATANZANIA LAZIMA TUWE MAKINI NA MATAJIRI WA NCHI HII KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU NA USTAWI WA WATANZANIA MASKINI
![](https://www.rafikifoundation.org/CMS/Images/tanzaniamap.png)
10 years ago
Mwananchi10 Aug
VIONJO VYA WIKI: Ndoto za wagombea zinaweza kuwadhuru kwenu
Safari siku zote huanza na hatua! Huu, ni usemi ambao umekuwa ukisikika au kuangukia kwenye ngoma ya sikio lako kwa miaka mingi na kuna uwezekano kuwa utaendelea kuusikia tena na tena mwaka huu, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
11 years ago
Mwananchi30 Jun
VIONJO VYA WIKI: Vijana wetu tumewatia kitanzini, tuwatoe
>Tumesikia kauli nyingi baadhi zikiwatoka viongozi wetu wa kada mbalimbali ambazo wakati mwingine zinakatisha tamaa.
9 years ago
Mwananchi28 Sep
VIONJO VYA WIKI: Wapambe, wapigadebe mnawaharibia wagombea urais
Tangu Agosti 22 hadi leo, tumesikia mambo mengi kutoka kwa wagombea uongozi wa ngazi mbalimbali ambao mwaka huu wamenuia kuingia madarakani.Tumewasikia wapambe wao, wengi ambao baadhi ya nyakati unaweza kujiuliza hivi wamelishwa au kunyweshwa nini mwaka huu hadi wanatujia kwa jinsi walivyo, hasa pale wanapopanda kwenye majukwaa ili kuwanadi wagombea hao wanaowapenda.
10 years ago
Mwananchi03 Aug
VIONJO VYA WIKI: Usajili wa Lowassa Ukawa umeacha maswali yanayohitaji majibu
Nimeamini kuwa kumbe wanasiasa nchini mwetu siyo watu unaoweza kuwaamini, tena kwa asilimia 100.
9 years ago
Mwananchi17 Aug
VIONJO VYA WIKI: Sikieni, uchaguzi wa 11 ni kipimajoto cha umoja, utaifa wetu
Siku 68 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa 11 wa viongozi wakuu wa nchi, kwa maana ya rais, wabunge na madiwani, kwa hakika tutarajie kuona mambo mengi.
10 years ago
Mwananchi27 Jul
VIONJO VYA WIKI: Angalieni msije kukosa mwana maji ya moto uchaguzi 2015
>Kwa kadri tunavyoikaribia siku ile ya Jumapili ya Oktoba 25 ambayo nakumbuka mwaka huu nilisema huenda ndiyo itakuwa siku ya uchaguzi mkuu wa viongozi wetu, yaani rais, wabunge na madiwani, tunasikia mambo mengi.
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Mgeja: Tuwe makini na wawekezaji
KUKOSA usikivu kwa baadhi ya viongozi wa serikali waliopewa mamlaka pindi wanaposhauriwa kwa masuala mbalimbali yahusuyo mustakabali wa nchi, kumesababisha taifa kuzidi kukumbwa na majanga ya ujangili, kukithiri kwa usafirishaji...
11 years ago
Mwananchi29 May
Tuwe makini, tuzingatie nidhamu kwenye matumizi yetu
Kelele mbalimbali zinazohusu matumizi mabaya ya fedha za umma zimekuwa zikipigwa ndani na nje ya vikao vya Bunge.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania