Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yatangaza tarehe ya uteuzi wa wagombea

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu kwamba Agosti 21, mwaka huu itakuwa ni siku ya uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

CCM YATANGAZA UTEUZI WA WAGOMBEA WA MAJIMBO 11 YALIYOKUWA YAMEBAKIA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo mchana,katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam kuhusiana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa majimbo 11 nchini yaliyokuwa yamebakia
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa leo Agosti 17, 2015 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM yatangaza rasmi uteuzi wa wagombea wa Majimbo 11yaliyokuwa yamebaki

napeeKatibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo mchana,katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam kuhusiana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa majimbo 11 nchini yaliyokuwa yamebakia

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa leo Agosti 17, 2015 katika
kikao chake cha siku moja kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa...

 

9 years ago

StarTV

NEC yatangaza idadi ya uteuzi wa viti maalumuCCM, CHADEMA, CUF

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetangaza idadi ya jumla ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu kutoka vyama vya siasa vya CCM, CHADEMA na CUF. Taarifa hiyo imetolewa na Kaimu mkurugenzi wa uchaguzi Emmanuel Kawishe alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa Ibara ya 66 kifungu cha kwanza b na ibara ya 78 ya katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa kwa pamoja na kifungu cha 86 A cha sheria ya uchaguzi sura ya 343, Tume imepewa...

 

9 years ago

Habarileo

NEC yatangaza tarehe za uchaguzi ‘viporo’

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza tarehe za uchaguzi wa ubunge na baadhi ya kata nchini ambazo hazikufanya uchaguzi Oktoba 25, mwaka huu, huku Jimbo la Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara, likitarajiwa kumchagua mbunge wake, Jumapili wiki hii.

 

9 years ago

Michuzi

NEC yatangaza Majimbo ya Masasi Mjini na Ludewa kufanya uchaguzi tarehe 20 Desemba, 2015

Na Joseph Ishengoma, MAELEZO

Majimbo ya Masasi Mjini mkoani Mtwara na Ludewa mkoani Njombe yanatarajia kufanya uchaguzi wa wabunge kesho (20.12.2015) ili kuwapata viongozi watakaoongoza majimbo hayo kwa kipindi cha miaka mitano.

Majimbo hayo hayakufanya uchaguzi tarehe 25.10.2015 kutokana na baadhi ya wagombea katika majimbo hayo kufariki dunia.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damiani Lubuva amewasihi wananchi kujitokeza na kupiga kura kwa amani na utulivu. Jaji Lubuva amesema...

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda aionya CCM uteuzi wa wagombea

Waziri Mkuu Mizengo Pinda amezitaka ngazi mbalimbali za uteuzi wa wagombea wa CCM kuwapa wananchi nafasi kuchagua watu wanaowataka ili kuepuka kupoteza viti katika uchaguzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi yatangaza tarehe za uchaguzi

Tume ya taifa nchini Burundi imetangaza ratiba ya tarehe ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani