Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yatangaza tarehe za uchaguzi ‘viporo’

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza tarehe za uchaguzi wa ubunge na baadhi ya kata nchini ambazo hazikufanya uchaguzi Oktoba 25, mwaka huu, huku Jimbo la Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara, likitarajiwa kumchagua mbunge wake, Jumapili wiki hii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NEC yatangaza Majimbo ya Masasi Mjini na Ludewa kufanya uchaguzi tarehe 20 Desemba, 2015

Na Joseph Ishengoma, MAELEZO

Majimbo ya Masasi Mjini mkoani Mtwara na Ludewa mkoani Njombe yanatarajia kufanya uchaguzi wa wabunge kesho (20.12.2015) ili kuwapata viongozi watakaoongoza majimbo hayo kwa kipindi cha miaka mitano.

Majimbo hayo hayakufanya uchaguzi tarehe 25.10.2015 kutokana na baadhi ya wagombea katika majimbo hayo kufariki dunia.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damiani Lubuva amewasihi wananchi kujitokeza na kupiga kura kwa amani na utulivu. Jaji Lubuva amesema...

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yatangaza tarehe ya uteuzi wa wagombea

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu kwamba Agosti 21, mwaka huu itakuwa ni siku ya uteuzi wa wagombea urais, ubunge na udiwani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Burundi yatangaza tarehe za uchaguzi

Tume ya taifa nchini Burundi imetangaza ratiba ya tarehe ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge.

 

9 years ago

BBCSwahili

Misri yatangaza tarehe uchaguzi wa bunge

Mamlaka ya uchaguzi nchini Misri imesema kuwa uchaguzi wa wabunge nchini humo unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba na Novemba mwaka huu.

 

11 years ago

GPL

NEC YATANGAZA UCHAGUZI KATA 27

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kata 27 nchini ambazo zipo wazi kutokana na madiwani wake kufariki dunia na wengine kupoteza sifa, uchaguzi wake utafanyika Februari 9 mwakani. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Mkurugenzi wa NEC, Julius Mallaba, alisema uchaguzi huo utafanyika katika halmashauri 23 baada ya kukamilisha taratibu zinazotakiwa.

Alizitaja kata hizo na halmashauri zake zikiwa kwenye mabano ni Segela na...

 

10 years ago

Michuzi

TAMISEMI YATANGAZA TAREHE YA KUJIANDIKISHA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

MKURUGENZI WA SERIKALI ZA MITAA BWANA KHALIST LUANDA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI (HAWAPO PICHANI) JUU YA KUKAMILIKA KWA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MJINI DODOMA LEO AMBAPO ALITANGAZA RASMI TAREHE YA KUANDIKISHA KUPIGA KURA . (PICHA NA HABARI KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI).
======  ========  =====
Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali Mitaa Bwana Kharist Michael Luanda amesema  wananchi wanapaswa kujiandikisha...

 

10 years ago

Michuzi

NEC YATANGAZA MAJIMBO MAPYA 26 YA UCHAGUZI

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati akitangaza majimbo mapya ya uchaguzi katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Emmanuel Massaka Globu ya Jamii)
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza majimbo 26 mapya ya uchaguzi ambayo yatakuwa na wagombea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo...

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yatangaza majimbo mapya uchaguzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) leo imetangaza majimbo mapya ya uchaguzi 26

 

11 years ago

Mwananchi

NEC kutangaza tarehe uchaguzi Jimbo Kalenga

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema wiki hii itatangaza tarehe ya uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Kalenga, lililopo wazi baada ya aliyekuwa Mbunge wake, Dk William Mgimwa (CCM) kufariki dunia Januari Mosi mwaka huu nchini Afrika Kusini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani