NEC yatangaza Majimbo ya Masasi Mjini na Ludewa kufanya uchaguzi tarehe 20 Desemba, 2015
Na Joseph Ishengoma, MAELEZO
Majimbo ya Masasi Mjini mkoani Mtwara na Ludewa mkoani Njombe yanatarajia kufanya uchaguzi wa wabunge kesho (20.12.2015) ili kuwapata viongozi watakaoongoza majimbo hayo kwa kipindi cha miaka mitano.
Majimbo hayo hayakufanya uchaguzi tarehe 25.10.2015 kutokana na baadhi ya wagombea katika majimbo hayo kufariki dunia.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damiani Lubuva amewasihi wananchi kujitokeza na kupiga kura kwa amani na utulivu. Jaji Lubuva amesema...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Majimbo ya Masasi Mjini na Ludewa kufanya uchaguzi kesho
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva akitangaza taarifa ya Upigaji kura kwa Majimbo ya Masasi Mjini na Jimbo la Ludewa kesho Jumapili, Desemba 20, 2015 mara alipokutana na Waandishi wa Habari leo 19 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa Tume uliopo Jijini Dar es Salaam.
Jaji Lubuva (kushoto) akifafanua kuhusu taarifa aliyoitoa iliyohusu Upigaji kura kwa Majimbo ya Masasi Mjini na Jimbo la Ludewa, kulia ni Mkurugenzi wa Uhcgauzi wa Tume hiyo BwanaKailima Ramadhani.
10 years ago
Mwananchi13 Jul
NEC yatangaza majimbo mapya uchaguzi
10 years ago
MichuziNEC YATANGAZA MAJIMBO MAPYA 26 YA UCHAGUZI
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza majimbo 26 mapya ya uchaguzi ambayo yatakuwa na wagombea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo...
9 years ago
Habarileo12 Nov
NEC yatangaza tarehe za uchaguzi ‘viporo’
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza tarehe za uchaguzi wa ubunge na baadhi ya kata nchini ambazo hazikufanya uchaguzi Oktoba 25, mwaka huu, huku Jimbo la Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara, likitarajiwa kumchagua mbunge wake, Jumapili wiki hii.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RNHlHMsJ1j4/VlC59msV4WI/AAAAAAAIHsE/Gy-uxMbRzpg/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
MichuziNEC KUTANGAZA MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI MKUU 2015, JUNI 31
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ,Kailima Ramadhani amesema ugawaji huo utakuwa umezingatia idadi ya watu,jiografia ya eneo husika pamoja mawasiliano na uchumi ili kuweza kuwalishwa na bunge katika maendeleo ya jimbo.
Ramadhan...
10 years ago
Mwananchi14 Jul
NEC yatangaza majimbo mapya 26
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/lulindi.jpg)
NEC YATANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS KWA MAJIMBO 3
10 years ago
Mwananchi26 May
NEC yatangaza tarehe ya uteuzi wa wagombea