NEC yatangaza majimbo mapya 26
>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeongeza majimbo mapya 26 ya ubunge.Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Damian Lubuva aliwaambia waandishi wa habari jana kwamba hatua hiyo imechukuliwa ili kuiwezesha Serikali kufikisha huduma kwa wananchi kirahisi pamoja na kukuza demokrasia nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Jul
NEC yatangaza majimbo mapya uchaguzi
10 years ago
MichuziNEC YATANGAZA MAJIMBO MAPYA 26 YA UCHAGUZI
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza majimbo 26 mapya ya uchaguzi ambayo yatakuwa na wagombea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo...
10 years ago
MichuziNEC KUGAWA MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI KWA VIGEZO
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi Nchini(NEC),inatarajia kuchunguza mipaka ya Majimbo ya Uchaguzi na kuyagawa kwa ajili ya uchaguzi wa Wabunge unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.
Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam,Mwenyekiti wa NEC,Jaji Mstaafu Damian Lubuva wakati alipokutana na viongozi wa Vyama vya Siasa kujadili masuala mbalimbali ya Tume katika kuelekea uchaguzi Mkuu.
Amesema ugawaji wa Majimbo,Tume imezingatia vigezo mbalimbali...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/lulindi.jpg)
NEC YATANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS KWA MAJIMBO 3
10 years ago
MichuziNEC KUTANGAZA MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI MKUU 2015, JUNI 31
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ,Kailima Ramadhani amesema ugawaji huo utakuwa umezingatia idadi ya watu,jiografia ya eneo husika pamoja mawasiliano na uchumi ili kuweza kuwalishwa na bunge katika maendeleo ya jimbo.
Ramadhan...
9 years ago
MichuziNEC yatangaza Majimbo ya Masasi Mjini na Ludewa kufanya uchaguzi tarehe 20 Desemba, 2015
Majimbo ya Masasi Mjini mkoani Mtwara na Ludewa mkoani Njombe yanatarajia kufanya uchaguzi wa wabunge kesho (20.12.2015) ili kuwapata viongozi watakaoongoza majimbo hayo kwa kipindi cha miaka mitano.
Majimbo hayo hayakufanya uchaguzi tarehe 25.10.2015 kutokana na baadhi ya wagombea katika majimbo hayo kufariki dunia.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damiani Lubuva amewasihi wananchi kujitokeza na kupiga kura kwa amani na utulivu. Jaji Lubuva amesema...
10 years ago
Habarileo01 Jun
RCC yapendekeza majimbo mapya
MAJIMBOya uchaguzi mkoani Iringa yako mbioni kuongezeka, kama itaridhiwa na Tume yaTaifa ya Uchaguzi (NEC) kutoka sita ya sasa hadi manane baada ya kikao maalumu cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Iringa (RCC), kuafiki nyongeza hiyo.
10 years ago
Habarileo07 Jul
Zanzibar yaongeza majimbo mapya 4
TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza majina ya majimbo ya uchaguzi na mipaka huku ikiongeza idadi ya majimbo mapya manne.
10 years ago
Habarileo13 May
Majimbo mapya hadharani Juni 31
MAJIMBO mapya ya uchaguzi yanatarajiwa kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) mwishoni mwa Juni, ili kuwezesha majimbo hayo kupata wabunge watakaowakilisha wananchi hao.