NEC KUGAWA MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI KWA VIGEZO
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi Nchini(NEC),inatarajia kuchunguza mipaka ya Majimbo ya Uchaguzi na kuyagawa kwa ajili ya uchaguzi wa Wabunge unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.
Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam,Mwenyekiti wa NEC,Jaji Mstaafu Damian Lubuva wakati alipokutana na viongozi wa Vyama vya Siasa kujadili masuala mbalimbali ya Tume katika kuelekea uchaguzi Mkuu.
Amesema ugawaji wa Majimbo,Tume imezingatia vigezo mbalimbali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNEC YATANGAZA MAJIMBO MAPYA 26 YA UCHAGUZI
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza majimbo 26 mapya ya uchaguzi ambayo yatakuwa na wagombea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo...
10 years ago
Mwananchi13 Jul
NEC yatangaza majimbo mapya uchaguzi
10 years ago
MichuziNEC KUTANGAZA MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI MKUU 2015, JUNI 31
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ,Kailima Ramadhani amesema ugawaji huo utakuwa umezingatia idadi ya watu,jiografia ya eneo husika pamoja mawasiliano na uchumi ili kuweza kuwalishwa na bunge katika maendeleo ya jimbo.
Ramadhan...
10 years ago
Habarileo12 May
NEC sasa yaanza kugawa majimbo
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza rasmi mchakato wa kugawa majimbo ya uchaguzi nchini ambapo inatarajia kuanza uchunguzi wa mipaka ya majimbo hayo hivi karibuni, ikiwa ni hatua ya maandalizi ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-dvJ6PFhEXBc/VaPlFJN4PZI/AAAAAAADxx4/g0hi1THALTk/s72-c/Majimbo%2B26%2BMapya%2B13%2BJULAI%2B2015.png)
10 years ago
Mwananchi14 Jul
NEC yatangaza majimbo mapya 26
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
NEC yatangza uchaguzi kwa majimbo na kata yaliyohairishwa
Jaji Mstaafu Damian Lubuva.
Na Jacquiline Mrisho
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza siku ya kupiga kura kwa baadhi ya majimbo ambayo uchaguzi wake ulihairishwa kutokana na sababu mbalimbali
Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametaja siku hiyo ya uchaguzi itakuwa Disemba 13, mwaka huu.
“Natoa rai kwa Wananchi wote waliojiandikisha kama wapiga kura katika Majimbo na Kata husika kujitokeza katika vituo walivyojiandikishia ili kuweza...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ndlH41M8xGk/VaQaJ0yKaPI/AAAAAAAHpeM/CUhn7P9IjNg/s72-c/tume.png)