NEC sasa yaanza kugawa majimbo
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza rasmi mchakato wa kugawa majimbo ya uchaguzi nchini ambapo inatarajia kuanza uchunguzi wa mipaka ya majimbo hayo hivi karibuni, ikiwa ni hatua ya maandalizi ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNEC KUGAWA MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI KWA VIGEZO
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi Nchini(NEC),inatarajia kuchunguza mipaka ya Majimbo ya Uchaguzi na kuyagawa kwa ajili ya uchaguzi wa Wabunge unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.
Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam,Mwenyekiti wa NEC,Jaji Mstaafu Damian Lubuva wakati alipokutana na viongozi wa Vyama vya Siasa kujadili masuala mbalimbali ya Tume katika kuelekea uchaguzi Mkuu.
Amesema ugawaji wa Majimbo,Tume imezingatia vigezo mbalimbali...
10 years ago
Habarileo25 Aug
NEC sasa yaanza uhakiki waliopita bila kupingwa
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inawasiliana na wasimamizi wa uchaguzi katika ngazi za halmashauri ili kupata idadi kamili ya wagombea waliopita bila upingwa katika ngazi za ubunge na udiwani.
11 years ago
Mwananchi29 Sep
LIGI KUU BARA: Yanga yaanza kugawa dozi
>Yanga imeanza kazi ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Tanzania Prisons iliyokuwa pungufu mabao 2-1 katika mechi iliyochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Serikali yaanza kugawa nakala milioni mbili Katiba inayopendekezwa
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro amesema kila kata nchini itapata nakala 300 za Katiba Inayopendekezwa ili kuwawezesha wananchi kuisoma na kushiriki katika Kura ya Maoni iliyopangwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu.
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Karatu sasa kugawa matrekta 50 kwa vikundi vya wakulima
Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha, imepanga kutoa zaidi ya matrekta 50 kwa vikundi vya wakulima, ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kuboresha kilimo.
10 years ago
Mwananchi14 Jul
NEC yatangaza majimbo mapya 26
>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeongeza majimbo mapya 26 ya ubunge.Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Damian Lubuva aliwaambia waandishi wa habari jana kwamba hatua hiyo imechukuliwa ili kuiwezesha Serikali kufikisha huduma kwa wananchi kirahisi pamoja na kukuza demokrasia nchini.
10 years ago
MichuziNEC YATANGAZA MAJIMBO MAPYA 26 YA UCHAGUZI
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza majimbo 26 mapya ya uchaguzi ambayo yatakuwa na wagombea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo...
10 years ago
Mwananchi13 Jul
NEC yatangaza majimbo mapya uchaguzi
Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) leo imetangaza majimbo mapya ya uchaguzi 26
10 years ago
GPL
NEC YATANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS KWA MAJIMBO 3
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametangaza matokeo ya awali ya urais kwa majimbo matatu ambayo ni Lulindi, Makunduchi na Paje kama yanavyoonekana kwenye jedwali hapo juu. Matokeo mengine ya awali ya urais yataendelea kuwajia kadri yatakavyokuwa yakitolewa na…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania