Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC YATANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS KWA MAJIMBO 3

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametangaza matokeo ya awali ya urais kwa majimbo matatu ambayo ni Lulindi, Makunduchi na Paje kama yanavyoonekana kwenye jedwali hapo juu. Matokeo mengine ya awali ya urais yataendelea kuwajia kadri yatakavyokuwa yakitolewa na…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TUME YA UCHAGUZI YATOA MATOKEO YA AWALI KWA MAJIMBO MATATU YA UCHAGUZI KWA NGAZI YA URAIS

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametangaza majimbo matatu ya awali ya uchaguzi leo katika Ukumbi wa Mwalimu nyerere ambayo ni Paje, Makunduchi pamoja na Lulindi








ENDELEA KUTUFUATILIA IFIKAPO SAA SITA MCHANA

 

9 years ago

GPL

NEC YAKAMILISHA ZOEZI LA KUTANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo imekamilisha zoezi la kutangaza matokeo ya awali ya Urais kwa majimbo yote 264 yaliyoshiriki katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Akizungumza wakati wa kukamilisha zoezi hilo lililokuwa likifanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva amesema kuwa kazi ya kutangaza...

 

9 years ago

Vijimambo

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATANGAZA MAJIMBO 69 KWA NGAZI YA URAIS LEO MCHANA

Jaji Lubuva akiendelea kutangaza matokeo ya Urais kwa Majimbo yaliyo bakiaMatokeo yakiendelea kutangazwa

Baadhi ya waandishi wa Habari waangalizi pamoja na wageni wakiwa wanafuatilia kwa makini kutangazwa kwa matokeo
Kamera za Kutosha zikifuatilia tukio

Endelea kufuatilia

 

9 years ago

Mwananchi

DK Magufuli aongoza majimbo matatu kwenye matokeo ya awali

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza matokeo ya awali ya urais kwa majimbo matatu yaliyokamilisha mchakato huo mpaka jana asubuhi.

 

9 years ago

Mwananchi

MATOKEO YA AWALI: Dk Magufuli anaongoza majimbo tisa, Lowassa manne

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jioni hii imeendelea kutoa matokeo ya awali ya urais katika majimbo 13 ambapo mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli anaongoza kwa majimbo tisa wakati Mgombea wa Chadema, Edward Lowassa anaongoza majimbo manne.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yatangaza majimbo mapya 26

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeongeza majimbo mapya 26 ya ubunge.Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Damian Lubuva aliwaambia waandishi wa habari jana kwamba hatua hiyo imechukuliwa ili kuiwezesha Serikali kufikisha huduma kwa wananchi kirahisi pamoja na kukuza demokrasia nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC yatangaza majimbo mapya uchaguzi

Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) leo imetangaza majimbo mapya ya uchaguzi 26

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani