Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC YAKAMILISHA ZOEZI LA KUTANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo imekamilisha zoezi la kutangaza matokeo ya awali ya Urais kwa majimbo yote 264 yaliyoshiriki katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Akizungumza wakati wa kukamilisha zoezi hilo lililokuwa likifanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva amesema kuwa kazi ya kutangaza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

NEC YATANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS KWA MAJIMBO 3

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametangaza matokeo ya awali ya urais kwa majimbo matatu ambayo ni Lulindi, Makunduchi na Paje kama yanavyoonekana kwenye jedwali hapo juu. Matokeo mengine ya awali ya urais yataendelea kuwajia kadri yatakavyokuwa yakitolewa na…

 

9 years ago

Mwananchi

NEC kutangaza matokeo urais ndani ya siku tatu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema itatangaza  matokeo ya urais ndani ya siku tatu kwa sababu watatumia Mfumo wa Kusimamia Matokeo (RMS) ambao utawawezesha kupokea, kujumlisha na kutangaza matokeo.

 

9 years ago

Mwananchi

Matokeo ya awali urais, ubunge yaanza kutolewa nchini

Wagombea urais wa vyama vya CCM na Chadema wanachuana vikali kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliyotangazwa kwenye vituo mbalimbali nchini baada ya wananchi kupiga kura jana.

 

9 years ago

Michuzi

MATOKEO YA AWALI YA URAIS MAGUFULI ANAONGOZA DHIDI YA WAGOMBEA WENZAKE

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Damian Lubuva (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari na waangalizi wa kimataifa wakati akitangaza matokeo ya awali ya urais Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima. Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali. Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali. Jaji Lubuva akijiandaa kutangaza matokeo hayo...

 

9 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI LEO KATIKA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE YALIPOKUWA YANATANGAZWA MATOKEO YA AWALI YA URAIS

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Damian Lubuva (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari na waangalizi wa kimataifa wakati akitangaza matokeo ya awali ya urais Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali.
 Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali. Jaji Lubuva akijiandaa kutangaza matokeo hayo...

 

9 years ago

Mwananchi

NEC: Matokeo kura za urais kubandikwa vituoni

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuanzia sasa itaanza kubandika matokeo ya kura za urais kwenye vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ili kuongeza uwazi na kupunguza malalamiko ya wizi wa kura.

 

9 years ago

Vijimambo

NEC KUTANAGZA MATOKEO YA URAIS NDANI YA SIKU TANO.

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji, Damian Lubuva 

Tume ya taifa ya uchaguzi imewatoa hofu watanzania kuwa katika uchaguzi wa mwaka huu imejiimarisha kimfumo wa kielektronic kuhakikisha matokeo yote yanayopatikana yanatangazwa ndani ya kipindi kifupi huku ikiahadi kutangaza matokeo ya urais ndani ya siku tano.

Kwa mujibu wa tume ya taifa ya uchaguzi inasema katika kipindi hiki hakutakuwa na dosari zozote za kimfumo hasa taarifa za wagombea huku ikijinasibu kuwa kupitia mfumo wake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani