MATOKEO YA AWALI YA URAIS YALIYOTANGAZWA NA NEC LEO

…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
NEC YAKAMILISHA ZOEZI LA KUTANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS
Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo imekamilisha zoezi la kutangaza matokeo ya awali ya Urais kwa majimbo yote 264 yaliyoshiriki katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Akizungumza wakati wa kukamilisha zoezi hilo lililokuwa likifanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva amesema kuwa kazi ya kutangaza...
10 years ago
GPL
NEC YATANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS KWA MAJIMBO 3
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametangaza matokeo ya awali ya urais kwa majimbo matatu ambayo ni Lulindi, Makunduchi na Paje kama yanavyoonekana kwenye jedwali hapo juu. Matokeo mengine ya awali ya urais yataendelea kuwajia kadri yatakavyokuwa yakitolewa na…
10 years ago
VijimamboYALIYOJIRI LEO KATIKA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE YALIPOKUWA YANATANGAZWA MATOKEO YA AWALI YA URAIS
10 years ago
GPL26 Oct
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Matokeo ya awali urais, ubunge yaanza kutolewa nchini
Wagombea urais wa vyama vya CCM na Chadema wanachuana vikali kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliyotangazwa kwenye vituo mbalimbali nchini baada ya wananchi kupiga kura jana.
10 years ago
MichuziMATOKEO YA AWALI YA URAIS MAGUFULI ANAONGOZA DHIDI YA WAGOMBEA WENZAKE
10 years ago
Michuzi
MATOKEO YALIYOTANGAZWA OKTOBA 27,2015 USIKU
MATOKEO YALIYOTANGAZWA OKTOBA 27,2015 USIKU

KUSOMA MATOKEO ZAIDI BOFYA HAPA.


KUSOMA MATOKEO ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
Mwananchi19 Sep
NEC: Matokeo kura za urais kubandikwa vituoni
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuanzia sasa itaanza kubandika matokeo ya kura za urais kwenye vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu ili kuongeza uwazi na kupunguza malalamiko ya wizi wa kura.
10 years ago
Mwananchi21 Aug
NEC kutangaza matokeo urais ndani ya siku tatu
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema itatangaza matokeo ya urais ndani ya siku tatu kwa sababu watatumia Mfumo wa Kusimamia Matokeo (RMS) ambao utawawezesha kupokea, kujumlisha na kutangaza matokeo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania