NEC YATANGAZA UCHAGUZI KATA 27
![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPwp5aKjOxMuL1MFPgklQfF2-c0xEW1kOcTMwKaBEzJ8XiELkMW7AQk2Y*DVB6j4x2WAjZp6SYR7jxOtAWuIWQfC/NEC_BANNER2.gif?width=640)
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kata 27 nchini ambazo zipo wazi kutokana na madiwani wake kufariki dunia na wengine kupoteza sifa, uchaguzi wake utafanyika Februari 9 mwakani. Akizungumza na Tanzania Daima jana, Mkurugenzi wa NEC, Julius Mallaba, alisema uchaguzi huo utafanyika katika halmashauri 23 baada ya kukamilisha taratibu zinazotakiwa. Alizitaja kata hizo na halmashauri zake zikiwa kwenye mabano ni Segela na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Jul
NEC yatangaza majimbo mapya uchaguzi
10 years ago
MichuziNEC YATANGAZA MAJIMBO MAPYA 26 YA UCHAGUZI
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza majimbo 26 mapya ya uchaguzi ambayo yatakuwa na wagombea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo...
9 years ago
Habarileo12 Nov
NEC yatangaza tarehe za uchaguzi ‘viporo’
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza tarehe za uchaguzi wa ubunge na baadhi ya kata nchini ambazo hazikufanya uchaguzi Oktoba 25, mwaka huu, huku Jimbo la Lulindi wilayani Masasi mkoani Mtwara, likitarajiwa kumchagua mbunge wake, Jumapili wiki hii.
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
NEC yatangza uchaguzi kwa majimbo na kata yaliyohairishwa
Jaji Mstaafu Damian Lubuva.
Na Jacquiline Mrisho
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza siku ya kupiga kura kwa baadhi ya majimbo ambayo uchaguzi wake ulihairishwa kutokana na sababu mbalimbali
Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametaja siku hiyo ya uchaguzi itakuwa Disemba 13, mwaka huu.
“Natoa rai kwa Wananchi wote waliojiandikisha kama wapiga kura katika Majimbo na Kata husika kujitokeza katika vituo walivyojiandikishia ili kuweza...
9 years ago
MichuziNEC yatangaza Majimbo ya Masasi Mjini na Ludewa kufanya uchaguzi tarehe 20 Desemba, 2015
Majimbo ya Masasi Mjini mkoani Mtwara na Ludewa mkoani Njombe yanatarajia kufanya uchaguzi wa wabunge kesho (20.12.2015) ili kuwapata viongozi watakaoongoza majimbo hayo kwa kipindi cha miaka mitano.
Majimbo hayo hayakufanya uchaguzi tarehe 25.10.2015 kutokana na baadhi ya wagombea katika majimbo hayo kufariki dunia.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damiani Lubuva amewasihi wananchi kujitokeza na kupiga kura kwa amani na utulivu. Jaji Lubuva amesema...
11 years ago
GPLCCM YAONGOZA KATA 11 KATIKA JUMLA YA KATA 13, UCHAGUZI MDOGO KALENGA
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Diwani Mathius wa kata ya Malangarini afunga kampeni za uchaguzi kwenye kata yake
Diwani wa kata ya Mlangarini, Mathius Manga akizungumza na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa CCM kwa ajili yakuwachagua viongozi wa serikali za mitaa utakaofanyika jumapili Desemba 14 mwaka huu.
Diwani Manga amewaasa wananchi wote kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM kwani wanasifa stahiki za kuwaongoza.
Aidha amesisitiza kulimnda amani kipindi chote cha uchaguzi na hata matokeo yatakapo tangazwa na kuepuka vitendo vya...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RNHlHMsJ1j4/VlC59msV4WI/AAAAAAAIHsE/Gy-uxMbRzpg/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
Mwananchi14 Jul
NEC yatangaza majimbo mapya 26