Diwani Mathius wa kata ya Malangarini afunga kampeni za uchaguzi kwenye kata yake
Diwani wa kata ya Mlangarini, Mathius Manga akizungumza na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa CCM kwa ajili yakuwachagua viongozi wa serikali za mitaa utakaofanyika jumapili Desemba 14 mwaka huu.
Diwani Manga amewaasa wananchi wote kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM kwani wanasifa stahiki za kuwaongoza.
Aidha amesisitiza kulimnda amani kipindi chote cha uchaguzi na hata matokeo yatakapo tangazwa na kuepuka vitendo vya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziDIWANI MATHIUS WA KATA YA MALANGARINI AFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI KATANI KWAKE
Diwani wa kata ya Mlangarini, Mhe Mathius Manga, akizungumza na wananchi wa kata hiyo katika mkutano wa hadhara wa kuhitimisha kampeni za uchaguzi wa CCM kwa ajili ya kuwachagua viongozi wa serikali za mitaa utakaofanyika jumapili Desemba 14 mwaka huu.
Diwani Manga amewaasa wananchi wote kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM kwani wanasifa stahiki za kuwaongoza.
Aidha amesisitiza kulimnda amani kipindi cote cha uchaguzi na hata matokeo yatakapo tangazwa na kuepuka vitendo vya...
Diwani Manga amewaasa wananchi wote kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM kwani wanasifa stahiki za kuwaongoza.
Aidha amesisitiza kulimnda amani kipindi cote cha uchaguzi na hata matokeo yatakapo tangazwa na kuepuka vitendo vya...
11 years ago
MichuziMembe afunga kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Udiwani kata ya kiwalala
Na Abdulaziz Video,lindi
Kampeni za Uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Kiwalala umefungwa na Mgeni Rasmi Mbunge wa Jimbo la Mtama, Mhe. Bernard Membe kwa kuwataka wananchi wa kata hiyo kutofanya makosa kwa kumchagua ndg Zahoro Shineni
Mkutano huo ambao ulihudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Chama mkoa wa Lindi akiwemo katibu mkuu wa Umoja wa Vijana Taifa pamoja na Viongozi wa CCM wa mkoa wa Mtwara waliokuwa wakielekea katika kufunga kampeni za Uchaguzi Mdogo Huko Mkwiti Mkoani Mtwara
11 years ago
GPLCCM YAONGOZA KATA 11 KATIKA JUMLA YA KATA 13, UCHAGUZI MDOGO KALENGA
Mashabiki wa CCM wakimbeba aliyekuwa mgombea wa CCM jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini Godfrey Mgimwa, baada ya kupata matokeo ya awali ya CCM kuongoza kata 11 kati ya 13 katika matokeo ya uchaguzi uliofanyika leo. Shamrashamra hizo…
9 years ago
Vijimambo11 Oct
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MKOA WA SIMIYU NA MAJIMBO YAKE(KATA KWA KATA) MWIGULU NCHEMBA AKIOMBA KURA ZA URAIS,UBUNGE NA UDIWANI
Hisia za Mwananchi katika maandishi "Magufuli Chaguo la Mungu".MwanaCCM akionesha kipeperushi cha Magufuli na Mama Samia Suluhu kuwa ndio Uongozi unaokwenda Kuchaguliwa na Watanzania.Wananchi wapotayari kuchagua CCM kwa nafasi zote tatu(Udiwani,Ubunge na Urais).Mwigulu Nchemba akiondoka Jimbo la Maswa Mashariki kumnadi Ndg.Nyongo mbunge mtarajiwa wa Chama cha Mapinduzi."CCM mambo yapo Poaaaa!!!"Mwigulu Nchemba akiwasili eneo la Mkutano akiwa na Mbunge wa Jimbo la Kisesa Ndg.Mpina.Mbunge...
10 years ago
GPLDIWANI WA KATA YA VIJIBWENI ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA
Diwani wa Kata ya Vijibweni, Suleiman Mathew (wa tatu kushoto), akimkabidhi ufunguo wa moja kati ya pikipiki mbili, Katibu  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Kata hiyo, Salum Kabenza Dar es Salaam leo, alizozitoa kwa ajili ya kusaidia uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo ambao unatarajiwa kufanyika Disemba 14, 2014. Wanachama wa CCM wa Kata ya Vijibweni wakiwa… ...
10 years ago
GPLDIWANI WA KATA YA VIJIBWENI (CCM), ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA
 Diwani wa Kata ya Vijibweni, Suleiman Mathew (wa tatu kushoto), akimkabidhi ufunguo wa moja kati ya pikipiki mbili, Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Kata hiyo, Salum Kabenza Dar es Salaam leo, alizozitoa kwa ajili ya kusaidia uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo ambao unatarajiwa kufanyika Disemba 14, 2014.
Wanachama wa CCM wa Kata ya Vijibweni wakiwa kwenye hafla hiyo ya makabidhiano...
9 years ago
MichuziALIYE KUWA DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONAH KALUWA AFUNGUA KAMPENI DHIDI YA UKATILI WA JINSIA KATIKA SOKO LA TABATA MUSLIM DAR ES SALAAM
Mwanaharakati wa kutetea wanawake na mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonah Kaluwa (kulia), akizungumza na wanawake wakati akifungua kampeni ya kupinga ukatili wa jinsia dhidi ya wanawake katika Soko la Tabata Muslim lililopo mtaa wa Msimbazi, Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa mtaa huo, Tatu Lazaro na Mwenyekiti wa mtaa huo, Beatries Mkama.
Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na wadau wapinga ukatili wa kijinsia masokoni.Mgeni rasmi Bonah...
Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na wadau wapinga ukatili wa kijinsia masokoni.Mgeni rasmi Bonah...
9 years ago
VijimamboALIYE KUWA DIWANI WA KATA YA KIPAWA BONAH KALUWA AFUNGUA KAMPENI DHIDI YA UKATILI WA JINSIA KATIKA SOKO LA TABATA MUSLIM DAR ES SALAAM LEO
Mwanaharakati wa kutetea wanawake na mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonah Kaluwa (kulia), akizungumza na wanawake wakati akifungua kampeni ya kupinga ukatili wa jinsia dhidi ya wanawake katika Soko la Tabata Muslim lililopo mtaa wa Msimbazi, Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mjumbe wa mtaa huo, Tatu Lazaro na Mwenyekiti wa mtaa huo, Beatries Mkama.Wanafunzi na wakazi wa Tabata Muslim wakiwa kwenye mkutano huo.
Meza kuu inavyoonekana katika ufunguzi...
Meza kuu inavyoonekana katika ufunguzi...
5 years ago
CCM BlogUWT KATA YA MAKONGO WAFANYA SHEREHE KUWAPONGEZA KINA MAMA 13 WALIOZOA VITI VYOTE KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KATIKA KATA HIYO MWAKA JANA
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Makongo, katika jimbo la Kawe, Dar es Salaam, Janeth Mahawanga akizungumza wakati wa hafla ya kuwapongeza kina mama wa CCM walionyakuwa viti vyote katika Kata hiyo wakati nwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika mwaka jana. Kulia ni Mgeni rasmi, Katibu wa UWT mkoa wa Dar es Salaam, Grace Haule na kulia ni Katibu wa UWT Wilaya ya Temeke Huba Issa. PICHA ZAIDI>> BOFYA HAPA
MAKONGO, Dar es Salaam
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya...
MAKONGO, Dar es Salaam
Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10