DIWANI WA KATA YA VIJIBWENI (CCM), ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA
 Diwani wa Kata ya Vijibweni, Suleiman Mathew (wa tatu kushoto), akimkabidhi ufunguo wa moja kati ya pikipiki mbili, Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Kata hiyo, Salum Kabenza Dar es Salaam leo, alizozitoa kwa ajili ya kusaidia uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo ambao unatarajiwa kufanyika Disemba 14, 2014. Wanachama wa CCM wa Kata ya Vijibweni wakiwa kwenye hafla hiyo ya makabidhiano...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLDIWANI WA KATA YA VIJIBWENI ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXvlaSGV2VWSwInsKnvSagOkIGI5UaRcTQzo00tifTYfyyaIFXl4H67ncRvHUTRm2RFtkvF4A3QQofDbFUZgNu-T/ccm.jpg?width=450)
DIWANI WA KATA YA NYIDA SHINYANGA (CCM) AMEFARIKI KWA AJALI YA PIKIPIKI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-iDcb_1OT9JE/VIqHpmeZewI/AAAAAAAG2qA/I_SXol2XGeE/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KATA ZA MIKUMBI,NDARO NA MBANJA HUKO LINDI MJINI KWA AJILI YA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MKOANI LINDI
![](http://2.bp.blogspot.com/-iDcb_1OT9JE/VIqHpmeZewI/AAAAAAAG2qA/I_SXol2XGeE/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-cu4twY1thXM/VIqHqJdT0RI/AAAAAAAG2qI/tILptUgsHHU/s1600/unnamed%2B(8).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-2Imw5R9q4qg/VIqHq5jQbtI/AAAAAAAG2qQ/8LsxPZ-udAU/s1600/unnamed%2B(9).jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91slc0NlylLsYbcs5UwLFJ3qlO6PyKv9KKijF3oHAR8sXPLRgDNvRXMG2ycSJdkN4PjL7mYJVYATk2aVc7Xdte4z-8/unnamed7.jpg?width=650)
MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KATA ZA MIKUMBI, NDARO NA MBANJA HUKO LINDI MJINI KWA AJILI YA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MKOANI LINDI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iiq-5qTP3-kalmG*gYTl3nUd9S1OB-*C6HldDgOKNfb51UYRl3MpetZLd3o7pKgDkrBFXJ2JbY--83nWVES7xKEqOH0bMj8q/FRONTUWAZI.jpg?width=650)
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, DIWANI CCM ANUSURIKA KIPIGO
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA WAZAZI YA CCM KATA YA SINZA YAWASHUKURU WANACHAMA WAKE KWA KUKIPA USHINDI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akiwahutubia wanaccm wa Kata ya Sinza katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru kufuatia kukipa ushindi chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni.
10 years ago
Michuzi07 Dec
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Akiwanadi Wagombea Uongozi Serikali za Mitaa wa UKAWA viwanja Kata ya Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Diwani CCM asaidia uchaguzi wa mitaa
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-8N5V38AdjTA/XoNfF6AYaVI/AAAAAAALlt4/fmOemhT0O14HGcLfWZ7cRSfP4Yn4hjQIACLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-01-6.jpg)
MANISPAA YA MOROGORO YANUNUA PIKIPIKI 7 KWA AJILI YA KATA ZA PEMBEZONI.
![](https://1.bp.blogspot.com/-8N5V38AdjTA/XoNfF6AYaVI/AAAAAAALlt4/fmOemhT0O14HGcLfWZ7cRSfP4Yn4hjQIACLcBGAsYHQ/s640/PIX-01-6.jpg)
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga, akiwasha Pikipiki katika hafla fupi ya makabidhiano ya Pikipiki kwa Kata zilizopo Pembezoni mwa Manispaa ya Morogoro.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/pix-02-4.jpg)
Afisa Utumishi wa Manispaa ya Morogoro , Waziri Kombo,(kushoto), akisoma taarifa fupi ya Manunuzi ya Pikipiki kwa ajili ya Kata zilizopo pembezoni wa Manispaa ya Morogoro, (kulia), Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, (katikati), Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga.
NA FARIDA...