Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diwani CCM asaidia uchaguzi wa mitaa

Diwani wa Kata ya Vijibweni (CCM) , Suleiman Methew amekabidhi msaada wa pikipiki mbili zenye thamani ya zaidi ya Sh3 milioni ili kusaidia harakati za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, DIWANI CCM ANUSURIKA KIPIGO

Na Makongoro Oging’ DIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kigogo, Kinondoni jijini Dar es Salaam, Richard Chengula wiki iliyopita alipata wakati mgumu, baada ya kunusurika kupigwa na wananchi wake, kwa kile kilichodaiwa kuzuia shughuli za maendeleo. Diwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kigogo, Kinondoni jijini Dar es…

 

10 years ago

GPL

DIWANI WA KATA YA VIJIBWENI (CCM), ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA

 Diwani wa Kata ya Vijibweni, Suleiman Mathew (wa tatu kushoto), akimkabidhi ufunguo wa moja kati ya pikipiki mbili, Katibu  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Kata hiyo, Salum Kabenza Dar es Salaam leo, alizozitoa kwa ajili ya kusaidia uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo ambao unatarajiwa kufanyika Disemba 14, 2014.
Wanachama wa CCM wa Kata ya Vijibweni wakiwa kwenye hafla hiyo ya makabidhiano...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diwani asaidia uji shuleni

DIWANI wa Levelosi, Ephata Nanyaro (CHADEMA), ametoa msaada wa unga, mahindi na sukari kwenye Shule ya Msingi Levelosi ili kuwawezesha wanafunzi kupata uji nyakati za mchana baada ya serikali kushindwa...

 

10 years ago

GPL

DIWANI WA KATA YA VIJIBWENI ATOA PIKIPIKI MBILI KWA AJILI YA KUSAIDIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA‏

Diwani wa Kata ya Vijibweni, Suleiman Mathew (wa tatu kushoto), akimkabidhi ufunguo wa moja kati ya pikipiki mbili, Katibu  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wa Kata hiyo, Salum Kabenza Dar es Salaam leo, alizozitoa kwa ajili ya kusaidia uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa katika kata hiyo ambao unatarajiwa kufanyika Disemba 14, 2014.  Wanachama wa CCM wa Kata ya Vijibweni wakiwa… ...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM wakuna vichwa Uchaguzi Serikali za Mitaa

Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) kilichoanza jana mjini hapa, pamoja na mambo mengine, kimelenga kuweka mkakati wa ushindi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi ujao.

 

10 years ago

Habarileo

CCM yaweka mikakati ya Uchaguzi Serikali Mitaa

KATIKA kuhakikisha kinafanya vyema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwishoni mwa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho, Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimepanga kuzitumia siku za Jumamosi kwa mikutano ya kisiasa katika kata zote za manispaa hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

CCM itashinda uchaguzi serikali za mitaa - Wassira

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira amezungumzia mbio za urais ndani ya CCM na kusema kishindo cha vikumbo vya wagombea ni ishara tosha kwamba kinakubalika.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa

2

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua  Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa  pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

10 years ago

Mwananchi

CCM itatua mzigo wa makosa ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

Machi mwaka huu Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuanza rasmi mchakato wake wa kura ya maoni ya kuwapata wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani watakaopeperusha bendera ya chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani