Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yatoa uhuru kwa waandishi siku ya uchaguzi

Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa NEC, Ramadhani Kailima wakati wa mafunzo ya siku mbili ya waratibu wa uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya majimbo na wilaya na maafisa wa uchaguzi yaliyofanyika mjini Morogoro

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Singpress yatoa msaada wa zaidi ya laki nane kwa Walemavu Siku ya Uhuru wa Habari

E83A1236

 

Mwalimu mkuu shule ya msingi mchanganyiko Ikungi waliya ya Ikungi, Olivary Kamilly, akizungumza ofisini kwake na wanachama wa klabu ya waandishi mkoa wa Singida, ambapo kwa kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, walitoa msaada wenye thamani ya zaidi ya shilingi laki nane kwa wanafunzi walemavu wakiwemo Albino katika shule hiyo.

Na Nathaniel Limu, Ikungi

WANACHAMA wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida wameadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari...

 

10 years ago

GPL

NEC YATOA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (Nec), Jaji mstaafu Damian Lubuva. TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya Uchaguzi Mkuu kwa mwaka huu 2015. Katika taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Damian Lubuva ni kwamba; Agosti 21, 2015: Uteuzi wa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani. Agosti 22 - Oktoba 24, 2015: Kampeni za uchaguzi. Oktoba 25, 2015: Siku ya kupiga kura.… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Siku ya Uhuru

 Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu namna ya kuadhimisha siku ya Uhuru ya tarehe 9/12/2015 na kusema kuwa siku hiyo sio siku ya mapumziko.

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA HABARI LA MAREKANI INERNEWS LAANDAA MAFUNZO YA SIKU TANO KWA WAANDISHI WA HABARI WA ZANZIBAR JUU YA KURIPOTI UCHAGUZI MKUU.

 Mkufunzi  na Mwandishi Mkongwe wa Tasnia ya Habari Zanzibar Salim Said Salim akitoa  mada katika mafunzo  ya  siku tano  juu ya kuandika Habari za Uchaguzi Mkuu yaliyoandaliwa na Shirika  la Habari la Marekani  Internews  kwa waandishi wa Habari wa Zanzibar katika Ukumbi wa Umoja wa watu wenye Ulemavu Kikwajuni Mjini Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. Mhadhiri wa Sheria, Kitivo cha Sheria Zanzibar University, Ali Uki akionyesha kitabu cha Sheria cha Tume ya Uchaguzi...

 

10 years ago

Michuzi

NEC yatoa Ratiba Rasmi ya Uchaguzi Mkuu.

Na Beatrice Lyimo-MAELEZOTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba rasmi kwa vyama vya Siasa na wananchi wote itakayotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Serikali  unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.Kwa mujibu wa taarifa iliyosainiwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo  Jaji wa Rufaa (Mst.) Damian Lubuva imesema kuwa kwa Mamlaka waliyopewa kwa mujibu wa vifungu vya 35B(1), (3) (a), 37 (1) (a) na 46 (1) vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi,  Sura ya 343, shughuli za uchaguzi zinatarajia kuanza hivi...

 

10 years ago

Michuzi

NEC YATOA MWALIKO WA WAANGALIZI WA NDANI WA UCHAGUZI MKUU .


 Na Jovina Bujulu.
Taasisi na Asasi mbalimbali zimetakiwa kutuma maombi kwenye ya  Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa ajili ya kusimamia uchaguzi mkuu utatarajia kufanyika mwezi oktoba mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Tume hiyo leo jijini Dar es salaam, imezitaka taasisi na asasi zenye nia ya kuwa waangalizi wa Uchaguzi Mkuu ujao kuwasilisha maombi yao katika ofisi ya NEC kuanzia  Julai 5 hadi Oktoba 6 mwaka huu.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa waombaji wanatakiwa kuwalisha maombi...

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA UCHAGUZI MKUU ITATANGAZWA NA NEC NA SI VINGINEVYO —LIPUMBA

 Mwenyekiti wa taifa wa Chama  cha Wananchi (CUF),Profesa   Ibrahim Lipumba akizungumza na baraza la uongozi wa chama hicho (hawapo pichani) iliyofanyika Makao Makuu ya Chama hicho jijini Dar es Salaam, wapili kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Zanzibar,Nassor Ahmed na kushoto ni makamu Mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF) Taifa,Duni Haji. Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Maalim Seif Shariff...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani