Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Singpress yatoa msaada wa zaidi ya laki nane kwa Walemavu Siku ya Uhuru wa Habari

E83A1236

 

Mwalimu mkuu shule ya msingi mchanganyiko Ikungi waliya ya Ikungi, Olivary Kamilly, akizungumza ofisini kwake na wanachama wa klabu ya waandishi mkoa wa Singida, ambapo kwa kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, walitoa msaada wenye thamani ya zaidi ya shilingi laki nane kwa wanafunzi walemavu wakiwemo Albino katika shule hiyo.

Na Nathaniel Limu, Ikungi

WANACHAMA wa klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa Singida wameadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AIRTEL YATOA MSAADA KWA KUNDI LA WALEMAVU‏

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba  akikata utepe kama ishara ya kukabidhi vibanda vya kisasa vya Airtel Money kwa watu wenye ulemavu, wanachama wa Taasisi ya Haki za Binadamu na Maendeleo Watu wenye Ulemavu (HREDP), kwa ajili kuwawezesha kuwa wafanyabiashara wajasiriamari, katika hafla iliyofanyika kwenye Shule ya Msingi Buguruni Viziwi jijini Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA NBC YATOA MSAADA KWA WALEMAVU WA NGOZI

 Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Mussa Jallow (wa tatu kushoto), akikabidhi pikipiki kwa Mwenyekiti wa Chama cha Albino (TAS) Mkoa wa Pwani, Thomas Diwani, katika hafla ambayo NBC ilikabidhi pikipiki tatu, kofia, miwani na mafuta ya ngozi ikiwa ni sehemu ya juhudi za benki hiyo katika kuisaidia jamii. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Kibaha, Pwani jana. Wengine ni baadhi ya wanachama wa TAS na maofisa wa NBC. Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Kibaha, Asia...

 

9 years ago

Mwananchi

NEC yatoa uhuru kwa waandishi siku ya uchaguzi

Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa NEC, Ramadhani Kailima wakati wa mafunzo ya siku mbili ya waratibu wa uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya majimbo na wilaya na maafisa wa uchaguzi yaliyofanyika mjini Morogoro

 

11 years ago

Michuzi

NMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA, yatoa msaada kwa hospitali za amana na muhimbili·

Benki ya  NMB imezindua tawi jipya barabara ya Mandela mkoani Dar es Salaam.Hili ni tawi la 20 kufunguliwa katika mkoa wa Dar es Salaaam, na hii inafanya NMB kuwa benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania, ikiwa na matawi zaidi ya 500 yaliyosambaa nchi nzima.   Tawi hili la NMB Mandela Road, linatoa huduma mbali mbali za kibenki ikiwemo akaunti za akiba, mikopo , huduma za fedha za kigeni, kukusanya mapato na kulipia kwa niaba ya serikali na taasisi mbalimbali.  Tawi hili litakua wazi kila ...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CBA YATOA MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 3 KWA SHULE YA SINGISI ARUSHA

IMG_8466
Meneja Masoko wa bank ya CBA  Bw. Sollomon Kawiche akisoma hutuba wakati walipokuja kutoa msaada chek ya fedha Shiling Million Tatu na laki Nane katika Shule ya msingi na Ufundi Singisi kwa ajiliya kununua vifaa vya umeme vya kujifunzia kwa wanafunzi wa ufundi shulen hapo.Aliyeko kulia ni mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Singisi Janeth Ayo na watatu kulia ni meneja  wa Kanda CBA Juliana Mwansuva(Picha na Jamiiblog)IMG_8493
Meneja wa Kanda wa Bank ya CBA Juliana Mwamsuva akimkabidhi Mwalimu mkuu...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA UUZAJI VIFAA VYA UJENZI FMJ YATOA MSAADA WA VITAKASA MIKONO KWA WAANDISHI WA HABARI ...YATUMA UJUMBE KWA WAJENZI


Na Said Mwishehe, Michuzi TV

KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali KUHUSU mapambano ya kupunguza kuenea Kwa ugonjwa wa Covid-19,Kampuni ya uuzaji wa vifaa vya ujenzi ya FMJ Hard Ware Lmt iliyopo Buguruni Kisiwani jijini Dar es Salaam imetoa msaada wa vitakasa mikono kwa vyombo vya habari.

Uongozi wa Kampuni hiyo umesema unatambua kazi kubwa inaayofanywa na vyombo vya habari hasa katika utoaji wa elimu na kuhabarisha umma kuhusu Corona, hivyo wameona haja ya kuwawezesha vitakasa mikono...

 

11 years ago

Michuzi

wanahabari lindi washerehekea siku ya uhuru wa habari kwa kupima afya na kutoa misaada hospitali

WANAHABARI mkoa wa Wa Lindi wakiongozwa na Mwenyekiti wao Bw Abdulaziz Ahmeid wameadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani kwa kutoa msaada kwa jamiii baada ya kutoa msaada wa Vifaa mbalimbali katika wodi za wazazi na watoto katika Hospital ya Rufaa ya Sokoine Mkoani Lindi Wanahabari hapo pia walipimwa afya zao na  Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani humo ili kila mmoja afanye kazi zake huku akijua Afya yake   Akiongea baada ya hafla hizo Bw. Abdulaziz Ahmeid alieleza...

 

11 years ago

Michuzi

WANAHABARI IRINGA WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

Katibu  wa chama  cha waandishi wa habari  mkoa wa Iringa (IPC) Francis Godwin wa pili  kulia  akiongoza  wanahabari na wananchi wa kata ya Ilala kwenda kufanya usafi wa mazingira   leo  wakati wa maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani. Wanahabari  mkoa wa Iringa  wakiadhimisha siku ya uhuru wa  vyombo vya habari kwa kufanya usafi.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani