Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA, yatoa msaada kwa hospitali za amana na muhimbili·

Benki ya  NMB imezindua tawi jipya barabara ya Mandela mkoani Dar es Salaam.Hili ni tawi la 20 kufunguliwa katika mkoa wa Dar es Salaaam, na hii inafanya NMB kuwa benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania, ikiwa na matawi zaidi ya 500 yaliyosambaa nchi nzima.   Tawi hili la NMB Mandela Road, linatoa huduma mbali mbali za kibenki ikiwemo akaunti za akiba, mikopo , huduma za fedha za kigeni, kukusanya mapato na kulipia kwa niaba ya serikali na taasisi mbalimbali.  Tawi hili litakua wazi kila ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI NA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA

Benki ya NMB imezindua tawi jipya barabara ya Mandela mkoani Dar es Salaam.  Vilevile imetoa msaada wa vifaa vya hospitali vyenye thamani ya shilingi milioni kumi kwa ajili ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Amana. Hili ni tawi la ishirini kufunguliwa katika mkoa wa Dar es Salaaam, na hii inafanya NMB kuwa benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania, ikiwa na matawi zaidi ya 150 yaliyosambaa nchi nzima.  Tawi hili la NMB Mandela Road, linatoa huduma mbali mbali za kibenki ikiwemo akaunti...

 

11 years ago

Michuzi

NMB KWA KUSHIRIKIANA NA TIGO PESA YASOGEZA HUDUMA ZA KIBENKI KARIBU ZAIDI NA WATEJA WAKE

Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya simu za mkononi Tigo wamezindua huduma ya kuweka na kutuma pesa kupitia simu za mkononi. Lengo kubwa la huduma hii ni kuwezesha huduma za kibenki kuwafikia wateja kwa ukaribu na urahisi zaidi.
Huduma hii mpya inawawezesha wateja wote wa NMB na Tigo kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Tigo Pesa kwenda kwenye akaunti zao za NMB. Vilevile, mteja anaweza kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya NMB kwenda kwenye...

 

11 years ago

GPL

TIGO YASOGEZA HUDUMA ZAKE KARIBU KWA WAKAZI WA SONGEA‏

Mkuu wa Wilaya wa Songea Mjini Joseph Mkirikiti akikata utepe kuashiria ufunguzi wa duka jipya la Tigo lililopo mjini Songea mtaa wa Shafi Bora asubuhi ya leo mkoani Ruvuma. Wakishuhudia kutoka kushoto ni Meneja wa Mauzo wa Tigo wa mkoa wa Ruvuma Kelvin Mibazi na Meneja wa duka hilo kutoka Tigo Wilfred Nestory.
Mkuu wa Wilaya wa Songea Mjini Joseph Mkirikiti (kulia) akifurahia zawadi ya kadi ya kipaumbele aliyozawadiwa...

 

10 years ago

Michuzi

NMB yatoa Msaada kwa Hospitali ya Rufaa, Dodoma

BENKI ya NMB, imetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma vyenye thamani ya shilingi milioni 10 ikiwa na lengo la kusaidia uboreshaji wa huduma katika hospitali hiyo kubwa kwa mikoa ya kanda ya kati – Singida na Dodoma.
Baadhi ya vifaa vilivyotolewa ni magodoro 22 na mashuka 422 ambayo kwa maelezo ya mganga mkuu wa hospitali hiyo – Dr Ezekiel Mpuya vitasaidia sana kuweka mazingira rafiki kwa wagonjwa wanaolazwa hospitalini hapo hususani akina mama wajawazito...

 

11 years ago

GPL

NMB YAENDELEA KUSOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WATEJA WAKE‏

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Bw.Meck Sadick (kwanza Kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vifaa vya hosipitali Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ,Dr Meshack Shimwela .Mashuka ya Hospitali pamoja na Vitanda vya wodi ya akina mama ni miongoni mwa vifaa vilivyotolewa .Makabidhiano haya yamefanyika jana wakati wa uzinduzi wa tawi la NMB mandela Road Katikati ni Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam,...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yasogeza huduma zake kwa wakazi wa Tegeta

Mmiliki wa duka jipya la Vodacom lililofunguliwa Tegeta katika jengo la Kibo Complex, Bw. Francis Nanai (katikati) pamoja na Meneja Mauzo ya Rejareja wa Vodacom Tanzania, Bi. Upendo Richard (kulia) kwa pamoja wakikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa duka hilo linakuwa ni la 78 kwa nchi nzima na la 16 kwa wilaya ya Kinondoni likiwa na huduma na bidhaa mbali mbali za Vodacom. Meneja Mauzo ya Rejareja wa Vodacom Tanzania, Bi. Upendo Richard (katikati) akipata maelekezo juu ya huduma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani