Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NMB YAENDELEA KUSOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WATEJA WAKE‏

Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Bw.Meck Sadick (kwanza Kulia) akimkabidhi sehemu ya msaada wa vifaa vya hosipitali Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana ,Dr Meshack Shimwela .Mashuka ya Hospitali pamoja na Vitanda vya wodi ya akina mama ni miongoni mwa vifaa vilivyotolewa .Makabidhiano haya yamefanyika jana wakati wa uzinduzi wa tawi la NMB mandela Road Katikati ni Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VODACOM YAENDELEA KUSOGEZA ZAIDI HUDUMA ZA MAWASILIANO KWA WATEJA WAKE‏

Meneja Uendeshaji wa maduka ya Vodacom Tanzania,Elihuruma Ngowi(katikati)akishirikiana na wasimamizi wa Duka jipya la Vodacom Sinza kumekucha Bw.Baraka Nyirenda wakwanza kushoto na  Bw.Davis Mkonyi(kulia)wakikata utepe kuashiria kuanza rasmi kwa huduma kwenye duka hilo jipya lililopo eneo la Sinza Kumekucha Dar es salaam.Duka hilo litakuwa likitoa huduma kwa siku saba za wiki ikiwemo siku za sikukuu.… ...

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom yaendelea kusogeza huduma karibu na wateja wake, yazindua duka jipya la kisasa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam

 Mkuu wa Kitengo cha Mauzo, Usambazaji ,Maduka na Huduma kwa Wateja Vodacom Tanzania Plc, George Lugata akizungumza na wageni waalikwa na wafanyakazi wa Vodacom mara baada ya uzinduzi wa duka jipya la kisasa lililopo Mbezi Beach chini kwa Zena jijini Dar Es Salaam leo Msimamizi wa duka jipya la Vodacom Mbezi Beach chini kwa Zena jijini Dar es salaam, Devota Kijogoo akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa duka hilo. Mkuu wa Kitengo cha Mauzo, Usambazaji ,Maduka na Huduma kwa Wateja...

 

11 years ago

Michuzi

NMB KWA KUSHIRIKIANA NA TIGO PESA YASOGEZA HUDUMA ZA KIBENKI KARIBU ZAIDI NA WATEJA WAKE

Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni ya simu za mkononi Tigo wamezindua huduma ya kuweka na kutuma pesa kupitia simu za mkononi. Lengo kubwa la huduma hii ni kuwezesha huduma za kibenki kuwafikia wateja kwa ukaribu na urahisi zaidi.
Huduma hii mpya inawawezesha wateja wote wa NMB na Tigo kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti zao za Tigo Pesa kwenda kwenye akaunti zao za NMB. Vilevile, mteja anaweza kuweka na kuhamisha pesa kutoka kwenye akaunti ya NMB kwenda kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA, yatoa msaada kwa hospitali za amana na muhimbili·

Benki ya  NMB imezindua tawi jipya barabara ya Mandela mkoani Dar es Salaam.Hili ni tawi la 20 kufunguliwa katika mkoa wa Dar es Salaaam, na hii inafanya NMB kuwa benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania, ikiwa na matawi zaidi ya 500 yaliyosambaa nchi nzima.   Tawi hili la NMB Mandela Road, linatoa huduma mbali mbali za kibenki ikiwemo akaunti za akiba, mikopo , huduma za fedha za kigeni, kukusanya mapato na kulipia kwa niaba ya serikali na taasisi mbalimbali.  Tawi hili litakua wazi kila ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja

IMG_5019

Wateja wakisikiliza mazungumzo mojakwamoja Baina ya mteja na muhudumu wetu katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter)  IMG_5004 IMG_4911 Mkuu wa idara ya Huduma kwa wateja, Ndugu Zaeem Khan akikabidhi kadi za kipaumbele kwa wateja waliohudhuria hafla hiyo. IMG_5035 Wateja waliopata nafasi ya kutembelea kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) wakipata maelekezo kuhusu huduma za Tigo. picha 02 Picha ya pamoja ya Wafanyakazi  na wateja wa Tigo waliotembelea kituo cha Huduma kwa...

 

10 years ago

Michuzi

BANK M KUBORESHA ZAIDI HUDUMA KWA WATEJA WAKE

 Naibu Mkurugenzi wa Habari wa Bank M,Allan Msalilwa akizungumza na waandishi habari (hawapo pichani) katika Ukumbi wa Hayyat Regency ,jijini Dar es Salaam juu ya huduma zinazotolewa na benki hiyo.Afisa Mtendaji Mkuu Biashara wa Bank M,Jacqueline Woiso akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu uboreshaji wa huduma kwa wateja wa benki hiyo.======= ======== ======== ===========Na Chalila Kibuda na Globu ya Jamii,Dar.


Benki M imesema imeendelea kuboresha huduma kwa...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI NA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA

Benki ya NMB imezindua tawi jipya barabara ya Mandela mkoani Dar es Salaam.  Vilevile imetoa msaada wa vifaa vya hospitali vyenye thamani ya shilingi milioni kumi kwa ajili ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Amana. Hili ni tawi la ishirini kufunguliwa katika mkoa wa Dar es Salaaam, na hii inafanya NMB kuwa benki yenye matawi mengi zaidi Tanzania, ikiwa na matawi zaidi ya 150 yaliyosambaa nchi nzima.  Tawi hili la NMB Mandela Road, linatoa huduma mbali mbali za kibenki ikiwemo akaunti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani