UCHAGUZI DMV: KUKOSA UTOVU WA NIDHAMU DHIDI YA MPIGANIA URAIS HAPA DMV (NDUGU LIBERATUS MWANGOMBE) - SAUTI YA BOARD MEMBA DMV
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi21 Jul
UCHAGUZI DMV: UPOTOSHAJI WA LIBERATATUS MWANGOMBE- TEAM IDDI SANDALY
Ndugu zetu wana DMV. Kama mnavyomjuwa na kuijuwa timu Iddi (TEAM TANZANIA) kwamba huwa hatupendelei kuingia kwenye malumbano wala kwenye shutuma kwa wagombea wengine. Lakini tumeona kuna haja ya kuweka wazi au kuondoa upotoshaji wa Liberatus Mwangombe anao wafanya ninyi wana DMV, Watanzania na Wanadiaspora.
Hatutozungumzia kuhusu kikao kizima na Muheshimiwa Balozi kwani kiongozi Bora ni yule anaeweka Mijadala inayofanyika ya kuendeleza jumuiya mbele...
11 years ago
Michuzi
Mahojiano na mgombea urais wa jumuia DMV, Liberatus Mwang'ombe

11 years ago
MichuziMazungumzo na Liberatus Mwang'ombe na Solomon Chris baada ya Uchaguzi DMV
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
Mgombea urais wa DMV Ndg. Liberatus Mwang’ombe alivyotembelea hospitali Tanzania
Liberatus believes “CHARITY STARTS AT HOME”
Katika muendelezo wa kusaidia nyumbani kama imani yangu ya kimsingi; ninaamini kuwa, “binadamu tulizaliwa tushirikiane na tusaidiane kutatua matatizo na sio kutengana wala kushindana.”
Mgombea wa Uraisi wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bw. Liberatus Mwago’mbe wakwanza (kusoto) akiwa na Dr. Kingslaw (katikati) na Nurse kabla ya lecture katika hospitali ya Muhimbili
Kwenye safari yangu ya Tanzania 2011 na 2013 nilipata fursa ya kutembelea hospital za...
11 years ago
MichuziDMV YAFANYA MISA YA KUMBUKUMBU NA KUOMBOLEZA KIFO CAROLINE MWAISELAGE DMV
10 years ago
Vijimambo
JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015


Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.

President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...
11 years ago
Michuzi11 Aug
11 years ago
Vijimambo
WOTE MNAKARIBISHWA KWENYE SHEREHE ZA EID - AL-HAJJ HAPA DMV

Jumuiya ya Waislamu ya Washington DC (TAMCO), Inapenda kuwatangazia kwamba sherehe za Eid El Hajj zitafanyika siku ya Jumamosi, October 4th, 2014. Kuanzia saa nane mchana mpaka saa tatu usiku . (2PM-9PM)
Anuani ni kama ifuatavyo;
Quince Orchard Valley Neighborhood park12015 Suffolk Terrace, Gaithersburg, MD 20878.
Tunawaomba WATANZANIA WOTE tujumuike pamoja na familia zetu katika kusherehekea siku hii tukufu.

11 years ago
MichuziKAMATI YA UCHAGUZI DMV: TAMKO RASMI
“Kwa wanaDMV: Inaelekea kumebakia suitafahamu au tafsiri fulani kuhusu matokeo ya uchaguzi wa DMV 2014 kufuatia takwimu za kura tulizotoa na kuwasilisha kwa bodi ya DMV.
Tamko hili linaweka wazi mshindi katika kila nafasi iliyogombaniwa. Hivyo kwa mujibu wa matokeo ya kura na wa katiba, wafuatao ndiyo viongozi wapya wa jumuia yetu kwa miaka miwili ijayo:

MAKAMU WA...