UCHAGUZI DMV: UPOTOSHAJI WA LIBERATATUS MWANGOMBE- TEAM IDDI SANDALY
Iddi Sandaly Mgombea nafasi ya Urais DMV
Ndugu zetu wana DMV. Kama mnavyomjuwa na kuijuwa timu Iddi (TEAM TANZANIA) kwamba huwa hatupendelei kuingia kwenye malumbano wala kwenye shutuma kwa wagombea wengine. Lakini tumeona kuna haja ya kuweka wazi au kuondoa upotoshaji wa Liberatus Mwangombe anao wafanya ninyi wana DMV, Watanzania na Wanadiaspora.
Hatutozungumzia kuhusu kikao kizima na Muheshimiwa Balozi kwani kiongozi Bora ni yule anaeweka Mijadala inayofanyika ya kuendeleza jumuiya mbele...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi22 Jul
10 years ago
VijimamboHAPPY BIRTHDAY RAIS WA DMV KAKA IDDI SANDALY
Timu ya Vijimambo inakutakia happy Birthday. Tunakuombea mungu akupe afya njema na uendeleze moyo wako huo wa kujitolea kwa wana DMV na Diaspora kwa ujumla.
11 years ago
Michuzi
TEAM IDDI "TEAM TANZANIA" INAOMBA KURA ZENU: KUWAKUTANISHA WATANZANIA KAMA WANA DMV BILA KUJALI MENGINEYO
Katika Historia ya DMV kwa Miaka miwili mfululizo ya Uongozi wangu tumeweza kuwajumuisha watanzania kwenye mambo mbali mbali. Tumeweza kufanya SUMMER PICNIC kwa watanzania wote wa DMV . Tuliweza kujipanga na Kuhakikisha watoto, vijana na Wazee wanajumuishwa pamoja na kufurahia, Watanzania bila Kujali Vyama na mengineyo tuliweza kujumuika kwa pamoja na kufurahi. Lengo DMV MOJA.
Kwa Kuendeleza kuonyesha ni jinsi Gani umoja Ndio Lengo la Jumuiya na Sio Kupata Mamilioni ya Fedha...
11 years ago
Michuzi
Dual citizenship is Good for Tanzania - IDDI SANDALY

My fellow Tanzanians need to know this:
A person could be born in Tanzania, then leave Tanzaniato go to England, and then become a British citizen. ...
11 years ago
Michuzi16 Feb
MSIKILIZE RAIS WA WATANZANIA DMV IDD SANDALY AKIONGEA LIVE NA WANADMV
11 years ago
Michuzi25 Jul
TEAM IDDI "TEAM TANZANIA" INAOMBA KURA ZENU
Bachelors in Accounting, MBA, CPA, CGMA
Controller at
Property Management Company
KUSHIRIKIANA NA KINA MAMA NA WATANZANIA WOTE HAPA DMV
Kwa miaka mitatu mfululizo nimekuwa nikishiriki na kushirikiana na kikundi cha kina mama kwenye matembezi hiari ya Kansa. Kikundi cha kina mama wa DMV ndani yake kukiwa na watanzania wenzetu walio pitia janga la Kansa wamekuwa mbele kuwaomba na kuwataka watanzania wachangie kwenye utafiti wa Kansa na pia kuwaomba watanzania wote wafanyiwe...
10 years ago
Vijimambo
IDDI SANDALY ATOA MSAADA WA COMPUTER SHULE YA SEKONDARi YA KIJIJI CHA MTIBWANI, WILAYA YA MAINA MKOANI TANGA



10 years ago
Vijimambo
BREAKING NEWS: THE CASE # 398424-V: ATC METRO DMV vs Sandaly, Nyang'anyi, et al, is due for trial
From Court room number 8A, 8th floor, Montgomery County, Rockville, Maryland. The motion filed by defendants to dismiss the election fraud case has been denied. The case is firm and intact/well and alive; will go for trial. Stay connected for more information


THE ELECTION...
11 years ago
Michuzi30 Jun
SHUKRANI: TEAM LIBE FOR DMV COMMUNITY PRESIDENT 2014

Team Libe for DMV Community President 2014 tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa kila mmoja aliye weza kufika kwenye mkutano wa kampeni wa hadhara jana Meadowbroak Park. Pia tunapenda kuwashukuru wale walio kuwa na nia ya kuja lakini kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao wakashindwa kutimiza hadhma hiyo. Asanteni!
Pia, Team Libe for DMV Community President 2014 tunapenda kuwashukuru wagombea wengine kwa kujitokeza na kuonyesha ushirikiano chanya na...