Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea urais wa DMV Ndg. Liberatus Mwang’ombe alivyotembelea hospitali Tanzania

Liberatus believes “CHARITY STARTS AT HOME”

Katika muendelezo wa kusaidia nyumbani kama imani yangu ya kimsingi; ninaamini kuwa, “binadamu tulizaliwa tushirikiane na tusaidiane kutatua matatizo na sio kutengana wala kushindana.”

1061

Mgombea wa Uraisi wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bw. Liberatus Mwago’mbe wakwanza (kusoto) akiwa na Dr. Kingslaw (katikati) na Nurse kabla ya lecture katika hospitali ya Muhimbili

Kwenye safari yangu ya Tanzania 2011 na 2013 nilipata fursa ya kutembelea hospital za...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mahojiano na mgombea urais wa jumuia DMV, Liberatus Mwang'ombe

Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Liberatus Mwang'ombe. Mgombea uRais wa Jumuiya ya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia Uchaguzi unategemewa kufanyika Agosti 9, 2014

 

10 years ago

Michuzi

Mazungumzo na Liberatus Mwang'ombe na Solomon Chris baada ya Uchaguzi DMV

Mubelwa Bandio kati akiwa na aliyekuwa mgombea wa nafasi za Mwenyekiti wa Jumuiya DMV Liberatus Mwang'ombe (L) na mgombea nafasi ya Katibu Msaidizi Solomon Chris (R0 wakati wa mahojianoAgosti 9, 2014, Jumuiya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia nchini Marekani ilifanya uchaguzi wake mkuu.Matokeo yake yamekuwa yakipingwa na waliokuwa wagombea wa uchaguzi huo kutokana na sababu mbalimbali.Wamaketi na Vijimambo Blog na Kwanza Production kueleza sababu hasa za kupinga matokeo...

 

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MBOWE: LIBERATUS MWANG'OMBE NDIYE MGOMBEA WA UBUNGE MBARALI KUPITIA UKAWA

Liberatus Mwang'ombe akichanganua changamoto za Mbarali mbele ya Mh. LowassaMh. Mbowe "Liberatus Mwang'ombe ndio mgombea halali wa UKAWA- Mbarali"
 Juu; baaa ya chopa ya Mh. Lowassa kutua. Chini: Mh. Mwang'ombe akiwaongoza wageni jukwaani
Bango: Mbarali tunamtaka Mwang'ombe Wana Mbarali wamesema watamchagua Mh. Mwang'ombe
 Juu Mh. Kingunge akielezea kuwa mabadiliko hayazuiliki Meza kuu
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA MBARALI KUPITIA CHADEMA NDUGU LIBERATUS MWANG'OMBE ATOA SHUKRANI

ASANTENI SANA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI, MBARALI 2015 Kwa marafiki na wapenzi wangu wote tulio shirikiana kwenye kampeni zangu, Liberatus Mwang’ombe, za ubunge 2015 jimbo la Mbarali;Kwanza kabisa naomba samahani kwa kuchelewa kuwashukuru wote mlio tumia muda wenu, mali zenu, na nguvu zenu kwenye kampeni hizi. Nawashukuru kwa kunipa support ya kifedha, mawazo, vyombo, ushirikiano usio na

 

11 years ago

Dewji Blog

Sera za Libetatus Mwang’ombe mgombea wa jumuiya ya watanzania DMV

libe

Kutakuwa na Mkutano wa Sera za Mkombea wa Jumuia ya waTanzania DMV Bwana Liberatus Mwang’ombeAtakachoongea katika mkutano wake ni Kuhusu Elimun Diversity visa Lotterry/ YOUNG African Leaders Initiatives.Jumuia na Afya, Baraza la ushauri, Darasa la Kiswahili.Ushirikiano na umoja, Jumuiya na wajasiriamali, Jumuia na vyanzo vya mapato,

Jumuiya na mrejesho wa ubalozi, “Power of attorney” ,Mkutano huo utafanyika Siku ya Jumamosi, June 28, 2014

kuanzia saa 10 Alasiri (4pm)Meadowbrook Park

7901...

 

9 years ago

Vijimambo

Liberatus Mwang'ombe aongelea changamoto za Mbarali na Mwananchi LTD




Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mtunga sheria Tanzania. Msaada wa fedha anaomba utumwe kupitia;
M-PESA- WAVE App number +255 752 494 409
Au, wasiliana na: Rehema Sarmet 301 367 9711Lukresia  240 593 5973Jabil  240 604 0574 

 

9 years ago

Michuzi

Mahojiano na Liberatus Mwang'ombe katika kipindi cha JUKWAA LANGU

Liberatus Mwang'ombe katika moja ya mikutano yake jimboni MbaraliKatika kipindi cha JUKWAA LANGU wiki hii tulipata fursa kuongea na aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Mbarali kupitia CHADEMA Liberatus Mwang'ombe ambaye ameeleza mengi kuhusu uchaguzi ulivyokuwa, aliyojifunza, analotaka kufanya kuhusu matokeo na hata kwa wana-diaspora wengine wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali Tanzania

 

11 years ago

Michuzi

Mjadala na Hussein Kauzela, Shamis Khatry, Liberatus Mwang'ombe na Solomon Christopher


Karibu katika mjadala na Hussein Kauzela, Shamis Khatry, Liberatus Mwang'ombe na Solomon Christopher uliojikita zaidi katika mwenendo wa kusaka katiba mpya nchini Tanzania. Huu ni mfululizo wa mazungumzo na watu mbalimbali kuhusu suala hili muhimu kwa mustakabali wa nchi ya Tanzania. Karibu Kwa maoni, tafadhali wasiliana nasi kwa barua pepe kwanzaproduction at gmail dot com

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani