TAMKO LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU UHURU, HAKI NA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU LEO TAREHE 17.09.2015
SISI, viongozi wa dini pamoja na taasisi zinazosimamia mchakato wa uchaguzi (NEC, TAKUKURU, Polisi pamoja na Msajili wa vyama vya siasa) tuliokutana leo tarehe 17/9/2015, tumepata nafasi ya kujadili kwa kina suala la uhuru,haki na amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika 25/10/2015 na wajibu wa kila mdau kuhakikisha kuwa uhuru,haki na amani vinalindwa kipindi hiki.Suala la uhuru haki na amani ni wajibu wetu sisi viongozi wa dini na watanzania wote kwa ujumla na halina mjadala.Kila mmoja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi20 Oct
Viongozi wa dini wazungumzia amani Uchaguzi Mkuu
9 years ago
VijimamboMKUU WA MKOA WA DODOMA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUSISITIZA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25
Viongozi wa dini...
9 years ago
Vijimambo10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Tamko la FEMACT kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015
Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa TGNP, Mratibu wa FEMACT, Lilian Liundi.
Tamko la femact kuhusu uchaguzi mkuu 2015
9 years ago
Dewji Blog29 Aug
Tamko la THBUB kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga.
Tamko la THBUB kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015.pdf
10 years ago
Vijimambo13 Aug
10 years ago
Vijimambo30 Apr
9 years ago
VijimamboMAMA SALMA KIKWETE KATIKA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015
10 years ago
Michuzi09 Sep
NEWS ALERT: TCD YATOA TAMKO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA UCHAGUZI MKUU WA 2015