Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS ALERT: TCD YATOA TAMKO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA UCHAGUZI MKUU WA 2015

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Mhe. John Cheyo akitoa tamko kuhusu mchakato wa Katiba na Uchaguzi Mkuu wa 2015 leo 9 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Idara ya Habari Bungeni mjini Dodoma.Picha na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma----------------------------VIONGOZI Wakuu wa Vyama vya siasa vyenye Wabunge vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wamekuwa katika mashauriano ya zaidi ya mwezi mmoja tangu tarehe 2 Agosti mwaka huu huku wakishauriana juu ya mwenendo wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tamko la FEMACT kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

IMG_0106

Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa TGNP, Mratibu wa FEMACT, Lilian Liundi.

Tamko la femact kuhusu uchaguzi mkuu 2015 

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Dewji Blog

Tamko la THBUB kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

HAKI BINADAMU

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga.

Tamko la THBUB kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015.pdf 

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

TAMKO LA VIONGOZI WA DINI KUHUSU UHURU, HAKI NA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU LEO TAREHE 17.09.2015

SISI, viongozi wa dini pamoja na taasisi zinazosimamia mchakato wa uchaguzi (NEC, TAKUKURU, Polisi pamoja na Msajili wa vyama vya siasa)  tuliokutana leo tarehe 17/9/2015, tumepata nafasi ya kujadili kwa kina suala la uhuru,haki na amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika 25/10/2015 na wajibu wa kila mdau kuhakikisha kuwa uhuru,haki na amani vinalindwa kipindi hiki.Suala la uhuru haki na amani ni wajibu wetu sisi viongozi wa dini na watanzania wote kwa ujumla na halina mjadala.Kila mmoja...

 

11 years ago

Mwananchi

Tamko la Jukwaa la Wakristo Tanzania kuhusu Mchakato wa Katiba

Sisi, wajumbe wa Jukwaa la Wakristo Tanzania, tuliokutana tarehe 27 hadi 28 Agosti, 2014, Dar es Salaam , tumepata fursa ya kutafakari, kujadili na kujielimisha kwa kina yaliyomo katika Rasimu ya pili ya Katiba na mjadala unaoendelea katika Bunge Maalumu la Katiba. Baada ya mjadala wa kina, tunatoa tamko letu kama ifuatavyo:

 

11 years ago

Dewji Blog

TEC yatoa tamko kuhusu Bunge Maalumu la Katiba

6

Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Tarcisius Ngalalekumtwa.

Na Mwandishi wetu

Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania limetoa tamko la kuwataka wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba(BMK) kuwatendea haki watanzania kwa kujadili maoni ya katiba yaliyowasilishwa na tume iliyoundwa ya kukusanya maoni na kuacha kuacha ubinafsi uwe wa mtu mmoja au wa vikundi kwa ajili ya kuunda katiba bora kwa watanzania.

Akizungumza na Waandishi wa habari ofisini kwake Rais wa...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MATOKEO YALIYOMPA USHINDI MBUNGE PROF MSOLA KATA TATU YATUPWA ,UCHAGUZI KURUDIA KESHO TAKUKURU WAANZA KUCHUNGUZA MCHAKATO MZIMA KILOLO

Na MatukiodaimaBlog
CHAMA Cha mapinduzi ( CCM) mkoa  wa Iringa  kimefuta matokeo ya kata tatu za jimbo la Kilolo matokeo yaliyokuwa yakimpa ushindi mkubwa mbunge anaemaliza muda wake Prof Peter Msola na kuagiza uchaguzi   huo  kurudiwa kesho
Matokeo hayo ambayo yamekataliwa na wagombea wote yanadaiwa kupachikwa katika  vituo vya kata hizo tatu japo hata hivyo hayana uhalisia ukilinganisha na idadi ya wanachama wa maeneo husika .
Katibu  wa CCM  mkoa  wa  Iringa Bw  Hassan Mtenga ...

 

10 years ago

GPL

CHIKAWE ATOA TAMKO KUHUSU KURA YA MAONI NA UCHAGUZI MKUU

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe,  akitoa tamko.  …akiendelea kutoa ufafanuzi kuhusu tamko lake. …akiandika moja ya maswali aliloulizwa na mwanahabari (hayupo pichani).…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani