Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA TUNDU LISSU NA WATANZANIA WAISHIO WASHINGTON DC

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA MBALIMBALI MKUTANO WA JIONI WA WASABATO WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAREKANI


Mchungaji Geoffrey Mbwana ambaye pia ni makamu wa Rais wa Wasabato Duniani akielezea hali ya kanisa lilivyo leo huku pia akiongoza kuimbisha nyimbo mbalimbali kwenye mkutano mkubwa wa neno la Mungu wa Wasabato Watanzania waishio nchini Marekani uliofanyika mida ya jioni siku ya Jumamosi April 18, 2015 Silver Spring, Maryland.
Mchungaji Celeb Migomvbo akielezea somo la wanandoa na vitu gani vya kuepeka vinavyosababisha kuvunja mahusiano ya wapendanao.
Maliyatabu mmoja ya waratibu wa mkutano...

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.

Bw Kisasi mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio Botswana akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi. Bi Rosemary Chambe Jairo Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anaeshughulikia dawati la diaspora akifungua rasmi mkutano huo.…

 

11 years ago

GPL

Tundu Lissu…

Tundu Lissu. Na Saleh Ally
Yanga damu aliyevuliwa viatu na mashabiki wa Simba SC
MMOJA wa wanasiasa machachari nchini ni Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), amekuwa akitajwa karibu kila sehemu yanapozungumziwa masuala mbalimbali yanayohusiana na siasa hapa nchini kutokana na umaarufu alionao.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUBWA WA NENO LA MUNGU WA WASABATO WATANZANIA WAISHIO NCHINI MAREKANI WATOTO WATENGEWA SEHEMU YAO.

 Watoto wakiwa sehemu yao chini ya uangalizi maalumu huku wazazi wao wakihudhuria mkutano mkubwa wa neno la Mungu unaondelea DMV kwa siku nne ikiwa leo Jumampili April 19, 2015 ndio hitimisho la mkutano huo. Watoto wakiangalia vipindi vya watoto kwenye luninga. Msimamizi wa watoto Tanya Muganda akielekeza jambo. Tanya Muganda akiwapatia zawadi watoto

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tundu Lissu awalipua mgambo

MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema anachukizwa na mgambo kuchangisha fedha za michango mbalimbali bila ya kujali kuwa wanazidisha umaskini kwa wananchi. Aidha, alisema kuwa serikali imekuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tundu Lissu atikisa Bunge

 Mjumbe wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema Tanganyika ilikufa kwa amri iliyotolewa na Mwalimu Julius Nyerere na siyo kwa makubaliano katika hati ya Muungano.

 

11 years ago

GPL

PAMOJA NA SNOW KUDONDOKA WATANZANIA WASHINGTON WAHUDHURIA MKUTANO WA PSPF

Mkurugenzi wa PSPF Bwana Adam Mayingu akizungumza na wana Jumuiya ya DMV kuhufu faida za kujiunga na Mfuko huo wa Pensheni,Aliwahasa Watanzania kujiunga na mfuko huo wa Pensheni wa hiari ilikuweza kujipatia mafao mbali mbali kama, Mikopo ya nyumba,Elimu,Biashara,Fao la Kifo pamoja na Fao la ugonjwa. Katibu wa CCM DMV Yacob Kinyemi na Katibu Mwenezi bi Salma wakisikiliza kwa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani