Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mwaliko wa futari kwa jumuiya ya watanzania waishio UAE


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO GENEVA-USWISI (TAS) WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI

Chama cha Watanzania waishio Geneva wametoa mchango wa vifaa ikiwa pamoja na tank la kuhifadhia maji,viti na meza za kusomea, jiko la gesi na mtungi wa Gesi ili kusaidia watoto wa kituo cha Amani Orphanage Centre.  Msaada huo uliwasilishwa kwa niaba ya TAS na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt Agnes Kijazi. Akiwasilisha mchango huo kwa niaba ya TAS. Dkt Kijazi alielezea upendo walionao watanzania hao kwa kuwakumbuka watoto wa kituo cha Amani. Alisema upendo huo ni...

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.

Bw Kisasi mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio Botswana akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi. Bi Rosemary Chambe Jairo Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anaeshughulikia dawati la diaspora akifungua rasmi mkutano huo.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya watanzania waishio Thailand wamchagua Bw. Maumba Mgaya kuwa Mwenyekiti wa TIT

Meza Kuu , Kutoka Kushoto ni Ndugu Maumba Mgaya, Mwenyekiti wa Jumuiya, Bi Magreth Mjindo na Ndugu Andrew Katibu

Meza Kuu , Kutoka Kushoto ni Ndugu Maumba Mgaya, Mwenyekiti wa Jumuiya, Bi Magreth Mjindo na Ndugu Andrew Katibu.

Mnano tarehe 7/11/2015, Jumuiya ya watanzania waishio nchini Thailand ilikutana na kujadiliana mambo mbalimbali ya jinsi gani wanaweza kusaidiana katika mambo mbalimbali, TIT ilianzishwa mnano mwezi wa nne mwaka, 2015 na inahusisha watanzania mbalimbali, wanafunzi,wafanyabishara na wafanyakazi waishio na kufanya nchini Thailand. Mkutano mkuu wa Jumuiya ulifanyika katika Hoteli...

 

10 years ago

Vijimambo

SHUKURANI KWA WATANZANIA KUTOKA KWA FAMILIA YA MAGEGE NA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK.




Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvaniakwa pamoja na Magege's Family,Tunatoa shukurani zetu za dhati kwa wotewaliojitokeza kwa namna Moja au nyengine katika kufanikisha mazishi yaMpendwa Mzee wetu Alfred Magege.Kwa pamoja tumefarijika na upendo mliotuonyesha katika Kipindi chotecha Msiba wa Mzee wetu naHatuna cha kuwalipa isipokuwa kukuombeeni dua kwa Mwenyezi Munguakuzidishieni Baraka na Daima tuendelee kuwa wamoja katika shida naraha.
Vile vile Tunatoa...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aandaa futari kwa yatima, walemavu wa ngozi na watoto waishio kwenye mazingira magumu ikulu Dar es salaam

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniYatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniRais Kikwete akipakua futari  na wageni wake Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniYatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AANDAA FUTARI KWA YATIMA, WALEMAVU WA NGOZI NA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM‏

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni…

 

11 years ago

Michuzi

TANGAZO KWA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA

 Ubalozi wa Tanzania London - Uingereza, unafuraha ya kuwatangazia Watanzania wote waishio Uingereza kuwa Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atakutana na Watanzania siku ya Jumapili tarehe 30 Machi 2014.
Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Forty Avenue, Wembley Park, London, Middx, HA9 9BE, kuanzia saa 10 jioni (16:00).


Katika Mkutano huo, Mhe.Rais Kikwete atazungumzia maendeleo ya nchi yetu na pia kutumia fursa hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani