SHUKURANI KWA WATANZANIA KUTOKA KWA FAMILIA YA MAGEGE NA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK.
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvaniakwa pamoja na Magege's Family,Tunatoa shukurani zetu za dhati kwa wotewaliojitokeza kwa namna Moja au nyengine katika kufanikisha mazishi yaMpendwa Mzee wetu Alfred Magege.Kwa pamoja tumefarijika na upendo mliotuonyesha katika Kipindi chotecha Msiba wa Mzee wetu naHatuna cha kuwalipa isipokuwa kukuombeeni dua kwa Mwenyezi Munguakuzidishieni Baraka na Daima tuendelee kuwa wamoja katika shida naraha.
Vile vile Tunatoa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo25 Dec
SALAMU ZA KRISMASI NA KHERI YA MWAKA MPYA KUTOKA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK
![](http://cdn.playbuzz.com/cdn/54602225-eb1b-4c77-b4bf-dcdec5d184dd/0b9c9900-fdb7-4e10-9c5a-1d5c110c6313.jpg)
10 years ago
VijimamboWATANZANIA WAISHIO NEW YORK NA MIJI JIRANI WASHIKAMANA NA KUMZIKA MZEE ALFRED MAGEGE
Mzee Magege apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele kwa ushirikiano wa jumuiya ya Watanzania waishio New York na miji ya jirani. Sala ya kumuombea mzee magege na kuaga mwili wake vyote vilifanyika Victory Seventh-Day Adventist Church Bronx. Ny. na kisha kumsindikiza kwenye nyumba yake ya milele huko Mount Prospect Cemetery Neptune City. Nj.
Mwili wa mzee Magege ukiwa ndani ya jeneza tayari kwa kuifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele.
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-hm_pAhGcWQc/VfwpDF8aoXI/AAAAAAAD7tw/HfgTJSXWoOk/s72-c/tanzania-flag.gif)
TAARIFA YA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK.
![](http://2.bp.blogspot.com/-hm_pAhGcWQc/VfwpDF8aoXI/AAAAAAAD7tw/HfgTJSXWoOk/s640/tanzania-flag.gif)
Tunapenda kuwataarifu kuwa tarehe 10 September Viongozi wa jumuiyatulifanya kikao na walezi wetu(Mabalozi)hapo ubalozini kujadili namnabora ya kuhitimisha muda wetu wa Uongozi.Kikao hicho kiliazimia mamboyafuatayo :A)Kuitisha mkutano Mkuu wa jumuiya hapo tarehe 5 Disemba 2015 ambaopamoja na mambo mengine utachagua Bodi ya Wadhamini wa jumuiya ambayoitasimamia uchaguzi ujao wa Viongozi.B) Kwa mara nyingine tena kikao hiki kilimridhia Mchungaji Mama Butikuaombewe Rasmi kuongozwa Kamati ya...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-1QCta3kegjk/VVpFU8PX2zI/AAAAAAAC4qU/-PQOXqYgVEU/s72-c/New%2BPicture.png)
NENO LA SHUKURANI KUTOKA KWA FAMILIA YA BWA UWESU MASUMI WA MBEZI BEACH JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-1QCta3kegjk/VVpFU8PX2zI/AAAAAAAC4qU/-PQOXqYgVEU/s320/New%2BPicture.png)
Shukurani za pekee ziwafikie wanajumuiya wa masjid Akram, Taqwa, Noor na Fauz Mbezi Beach, masjid Maamur- Upanga, Dr. Halid Gongoro, Ofisi za...
9 years ago
VijimamboWATANZANIA WAJITOKEZA NYUMBANI KWA NY EBRA BROOKLYN. NEW YORK KUMPA POLE KWA KUFIWA NA DADA YAKE HUKO TANZANIA
Jumuiya ya Watanzania New York New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inasikitika kuungana na Ebra Nyagaly wa Vijimambo New York kutangaza msiba wa dada yake Mpenzi Asha Nyagaly kilichotokea Dar es Salaam, Tanzania. Dada amekutwa na mauti nyumbani baada ya kuzidiwa ghafla akitokea hospitali alipokwenda kupata matibabuKwa sasa unaweza kumpigia simu Ebra NY na kumpa pole simu 347 475 4313
Msiba utakuwa nyumbani kwaEbra702 E 37th St,Brooklyn, NY
Mwenye Enzi Mungu amsameh Marehemu makosa yake na...
11 years ago
Michuzi03 Jul
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-mzFsZigKeGo/VDwN_h5DMsI/AAAAAAADJqo/fRAGzQJ1kEA/s72-c/92014_0001.jpg)
10 years ago
Michuzi12 Sep
11 years ago
Michuzi20 Feb