RAIS KIKWETE AONGEA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi11 years ago
GPLRAIS KIKWETE AONGEA NA MAMIA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania waishio Uingereza alipokutana nao usiku wa Machi 30, 2014 katika Ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Wembley, London, aliko katika ziara ya kiserikali ya siku tatu kwa…
5 years ago
MichuziPROF KABUDI AONGEA NA VIONGOZI WA JUMUIYA NA TAASISI ZISIZOKUA ZA KISERIKALI, KUJUMUIKA KATIKA MIAKA 30 YA JUMUIYA DMV
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Wilson Masilingi akiwambulisha vingozi wa Jumuiya ya waTanzania DMV, viongozi wa Jumuiya za dini na taasisi zisizokua za kiserikali zinazomilikiwa na waTanzania DMV kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi na baadae kumkaribisha kuongea nao. Picha na Vijimambo BlogWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi akiongea na vingozi...
10 years ago
VijimamboRais Kikwete aongea na Watanzania wanaoishi India
Rais Jajaya Mrisho Kikwete akiongea na Watanznia wanaoishi India katika Hotel ya Taj Palace jijini Delhi. Rais Kikwete aliwaeleza mambo ya maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya nne ikiwemo ujenzi wa miundombinu kama vile barabara, maji, umeme na uboreshaji wa bandari ya Dar es Salaam. Aidha, aliwambia mipango iliyopo ya kujenga bandari ya Bagamoyo na reli ya kati ya kisasa. Aliwaeleza pia hali ya kisiasa, hususan maandalizi ya uchguzi mkuu ambapo zoezi la kuchukua fomu za kuwania...
10 years ago
MichuziBALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA SWEDEN, AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE
Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akisindikizwa kuingia kwenye kasri ya Mfalme wa Sweden ili kuwasilisha hati zake za utambulisho. Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Mfalme wa Sweden kasri ya Mfalme wa Sweden akipofika kuwasilisha hati zake za utambulisho. Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akipeana mikono na Mfalme wa Sweden baada ya kuwasilisha hati za utambulishoBaada ya...
10 years ago
Michuzi17 Jul
Rais Kikwete azungumza na Watanzania waishio Uswisi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na watanzania waishio Switzerland katika hoteli ya Intercontinental jijini Geneva-Julai 16, 2015.
Watanzania waishio Switzerland.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ofisi ya mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva jana baada ya kuzungumza nao na kisha kupata futari katika Hoteli ya Intercontinental jijini Geneva ...
10 years ago
MichuziRais Kikwete kukutana na Watanzania waishio Ujerumani
Kufuatia mkutano wa Watanzania waishio ujerumani na Rais wa Tanzania Mhe Jakaya Kikwete, Mweyekiti wa umoja wa watanzania Ujerumani UTU e.V Bw, Mfundo Peter Mfundo ameeleza matarajio ya Watanzania waishio Ujerumani.
Alifafanua kwamba japokuwa Rais Kikwete amebakiza muda mfupi katika uongozi wake lakini Umoja huo unaamini kuwa madam Rais Kikwete ameona umuhimu wa kufanya mkutano na Watanzania wanaoishi ujerumani basi anaweza akatekeleza mahitaji ya Watanzania hao.
Bw. Mfundo alifafanua pia ...
Alifafanua kwamba japokuwa Rais Kikwete amebakiza muda mfupi katika uongozi wake lakini Umoja huo unaamini kuwa madam Rais Kikwete ameona umuhimu wa kufanya mkutano na Watanzania wanaoishi ujerumani basi anaweza akatekeleza mahitaji ya Watanzania hao.
Bw. Mfundo alifafanua pia ...
11 years ago
Michuzi03 Aug
10 years ago
MichuziRais Kikwete akutana na Watanzania waishio India na Wawekezaji
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania nchini India na familia zao jana muda mfupi baada ya kuzungumza nao katika hoteli ya Taj Mahal Palace jijini New Delhi India ambapo yuko kwa ziara ya kiserikali.Walioketi mbele kutoka kushoto ni baadhi ya mawaziri anaofuatana nao katika ziara hii.Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa mambo ya Nje Mahadhi Juma Maalim, watatu kushoto ni Waziri wa Maji Prof.Jumanne Maghembe,watatu kulia ni Waziri wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania