Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROF KABUDI AONGEA NA VIONGOZI WA JUMUIYA NA TAASISI ZISIZOKUA ZA KISERIKALI, KUJUMUIKA KATIKA MIAKA 30 YA JUMUIYA DMV

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Wilson Masilingi akiwambulisha vingozi wa Jumuiya ya waTanzania DMV, viongozi wa Jumuiya za dini na taasisi zisizokua za kiserikali zinazomilikiwa na waTanzania DMV kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi na baadae kumkaribisha  kuongea nao. Picha na Vijimambo BlogWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof Palamagamba Kabudi akiongea na vingozi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON: MH. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUSIMIKA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA.

Tunapenda kuwatangazia kwamba siku ya Jumamosi tarehe 29 machi 2014, jumuiya yetu ya Watanzania Houston itafanya sherehe ya kusimika viongozi wapya wa jumuiya. Muda ni kuanzia saa mbili kamili jioni(8pm) katika anuani ifuatayo: Turquoise Center, 9301 West Bellfort Ave. Houston TX 77031.
Mheshimiwa Balozi wa Tanzania hapa US na Mexico, Mh.Liberata Mulamula ndiye atakaekuwa mgeni rasmi wa tukio hili la kihistoria katika jumuiya yetu ya Houston. Wote mnakaribishwa ili tusherekee na tuweke...

 

10 years ago

Vijimambo

UONGOZI JUMUIYA DMV YAFANYA KIKAO NA KAMATI ZAKE KUJADILI MASWALA MBALIMBALI YANAYOIKABILI JUMUIYA

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV ukifanya kikao na kamati zake mbalimbali ndani ya uongozi wa jumuiya hiyo kujadili maswala ya wanajumuiya wake yakiwemo maswala ya afya, ukusanyaji wa ada za uwanachama ikiwemo kutengeneza vitambulisho maalum vya mwanachama na njia mbadala za kuongeza kipato kwenye Jumuiya ya DMV. Swala lingine lililojadiliwa ni kuangalia na kuwatambua Watanzania wenye nafasi kwenye jamii kama vile Madaktari, Manesi, wanasheria na wengineo ambao wapo tayari kushirikiana...

 

5 years ago

Michuzi

BAJETI YA FEDHA ZAIDI YA DOLA MILIONI 94 YAPITISHWA JUMUIYA YA SADC, MAWAZIRI WAWEKA MKAKATI KUKABILI CORONA...WAZIRI PROF. KABUDI ATOA NENO

Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii

JUMUIYA ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC)imepitisha bajeti ya fedha ya Dola za Marekani milioni 94,913,815 kwa mwaka 2020/ 2021.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari baada ya kikao cha Baraza la Mawaziri wa Jumuiya hiyo Katibu Mtendaji wa Jumuiya hiyo Dk.Stergomena Tac amesema fedha hizo zitatumika kwenye masuala mbalimbali yanayohusu Jumuiya.

"Pamoja na ajenda mbalimbali ambazo zimejadiliwa ,pia Jumuiya imepitisha bajeti ya fedha kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA TA WATANZANIA DMV INAOMBA USHIRIKIANO WAKO KATIKA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA EBOLA




   JUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAOMBA USHIRIKANO WAKO KATIKA JUHUDI  ZA KUPAMBANA NA EBOLA




 

10 years ago

Vijimambo

Ujumbe wa Madaktari Bingwa wa Jumuiya ya Watanzania Washington DC,MD,VA (DMV) Wawasili katika Bandari ya Zanzibar .

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Seif Suleman akiwa katika bandari ya Zanzibar kuupokea Ujumbe wa Madaktari kutoka Jumuiya ya Watanzania Washington ukiwa wenyeji wa PBZ na Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Diaspora Zanzibar wakiwa katika bandari hiyo kuupokea kwa ajili ya kutoa huduma ya Afya kwa Wananchi wa Zanzibar katika hospitali ya Mnazi mmoja kesho, Kwa muji wa Mkurugenzi wa Idara hiyo Ndg Adila Hilal Vuai amesema utatoa huduma ya Uchunguzi wa Satatani ya Maziwa kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV NA WAWAKILISHI WAO WAWASILI SALAMA TANZANIA NA KUTOA MSAADA WA MADAWA HOSPITALI YA MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO

Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn.. Idd Sandaly mwenye fulana nyekundu wakifanya maongezi na Mkuu wa kitengo cha Diaspora Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimaifa Bi. Rosemery Jairo siku Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV na wawakilishi wao wakiwemo manesi na madaktari wa kujitolea walipowasili Tanzania kwa ajili ya kutoa huduma za kitabibu na madawa bure katika hospitali mbalimbali Tanzania. Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Idd Sandaly akiwa katika picha ya pamoja na mama...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa DMV unapenda kuwajulisha watanzania wote kukaa mkao wa kula , kwa ajili ya sherehe za muungano zitakazofanyika, Jumamosi April 25, 205.
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
Wadhamini WanakaribishwaWasiliana na uongozi kupitia
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV NA WASHIRIKA WAO WATOA HUDUMA ZA KIMATIBABU NA MADAWA BURE KATIKA HOSPITALI YA MWANAYAMALA JIJI DAR

Mkurugenzi wa Taasisi ya kinamama wa Kiafika inayohusika na ugonjwa wa Saratani ya matiti Bi. Ify Nwabuku(kushoto) akizungumza na wakina mama (hawapo picha) wakati wa utoaji wa matibabu bure kwa wakina mama katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar. Kushoto ni Bi Asha Nyang'anyi ambaye ni mwanakamati wa ustawi wa jamii na maendeleo ya kiuchumiwa jumuiya ya Watanzania DMV.
 Wakina mama wakimsikiliza kwa makini Bi. Ify Nwabuku wakati akitoa maelezo juu ya upimaji wa Saratani kwa wakina mama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani