VIONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV NA WAWAKILISHI WAO WAWASILI SALAMA TANZANIA NA KUTOA MSAADA WA MADAWA HOSPITALI YA MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-oBwRadxDgAw/Va0PNp5DYFI/AAAAAAAD0E0/uoEthg2jDkk/s72-c/d066240baba4eac217b97cc5b50b2b54.jpg)
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn.. Idd Sandaly mwenye fulana nyekundu wakifanya maongezi na Mkuu wa kitengo cha Diaspora Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimaifa Bi. Rosemery Jairo siku Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV na wawakilishi wao wakiwemo manesi na madaktari wa kujitolea walipowasili Tanzania kwa ajili ya kutoa huduma za kitabibu na madawa bure katika hospitali mbalimbali Tanzania.
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Idd Sandaly akiwa katika picha ya pamoja na mama...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV NA WASHIRIKA WAO WATOA HUDUMA ZA KIMATIBABU NA MADAWA BURE KATIKA HOSPITALI YA MWANAYAMALA JIJINI DARâ€â€Ž
Wakina mama wakimsikiliza kwa makini Bi. Ify Nwabuku wakati akitoa maelezo juu ya upimaji wa Saratani kwa wakina mama...
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV NA WASHIRIKA WAO WATOA HUDUMA ZA KIMATIBABU NA MADAWA BURE KATIKA HOSPITALI YA MWANAYAMALA JIJI DAR
Wakina mama wakimsikiliza kwa makini Bi. Ify Nwabuku wakati akitoa maelezo juu ya upimaji wa Saratani kwa wakina mama...
10 years ago
VijimamboUjumbe wa Madaktari Bingwa wa Jumuiya ya Watanzania Washington DC,MD,VA (DMV) Wawasili katika Bandari ya Zanzibar .
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lPWwKsoWXn4/VmxMopWsORI/AAAAAAAIL8w/76NnhuNnxeM/s72-c/201512120815%252C52.jpg)
WAZIRI WA AFYA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-lPWwKsoWXn4/VmxMopWsORI/AAAAAAAIL8w/76NnhuNnxeM/s640/201512120815%252C52.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ITALQRWR9Mc/VmxMo0GxL2I/AAAAAAAIL8s/tj7_ifV35PQ/s640/2015121208155%252C1.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mGDEGIIKfGk/VWBI3IhC4CI/AAAAAAABgdQ/zRRQ7LqGoDU/s72-c/IMG_0995.jpg)
THE MBONI SHOW YAADHIMISHA MIAKA MITATU KWA KUTOA MSAADA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-mGDEGIIKfGk/VWBI3IhC4CI/AAAAAAABgdQ/zRRQ7LqGoDU/s640/IMG_0995.jpg)
10 years ago
VijimamboMadaktari kutoka Washington Diaspora Walioletwa na Jumuiya ya Watanzania DMV Watoa Hudua ya Afya Hospitali ya Mnazi Mmoja
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-c7ytde_gMlU/VmAR7TYfJNI/AAAAAAAIJ-M/IyDSNhceu_E/s72-c/jpm1.jpg)
RAIS MAGUFULI AHUTUBIA VIONGOZI NA WAWAKILISHI WA UMOJA WA SEKTA BINAFSI NCHINI - TPSF IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-c7ytde_gMlU/VmAR7TYfJNI/AAAAAAAIJ-M/IyDSNhceu_E/s640/jpm1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-4OQ-VZa56ts/VmAR7SNBtLI/AAAAAAAIJ-Q/e-liCp1dKFk/s640/jpm2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-BDmokFMUvLk/VmAR7Bu9phI/AAAAAAAIJ-I/siElIoLMsUc/s640/jpm4.jpg)
9 years ago
Vijimambo17 Oct
Documentary ya Tanzania Medical Mission ya Jumuiya wa Watanzania DMV- NYUMBANI KWANZA.
Watanzania wote wa USA na DMV Tunapenda kuwajulisha maandalizi ya Second Medical Mission kwenda Tanzania yanaanza hivi Karibuni. Tunaomba mjitokeze kwa wingi ili kufanya medical mission ijayo kuwa kubwa na yenye kutoa huduma zaidi nyumbani. NYUMBANI KWANZA.Kama mlivyojionea wenyewe kwenye hii documentary mahitaji ni Mengi na sisi Diaspora tunaweza changia muda na mali kidogo kwenye kulisukuma gurudumu la maendeleo mbele.
AsanteniIddi SandalyRais wa Jumuiya DMV
11 years ago
MichuziWASANII WA BONGO MOVIE KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MABIBO BEER WATEMBELEA HOSPITALI YA MWANANYAMALA LEO NA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA.