WASANII WA BONGO MOVIE KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MABIBO BEER WATEMBELEA HOSPITALI YA MWANANYAMALA LEO NA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabibo Beer ambao ni wauzaji wa vinywaji vya Windhoek na Climax, Mama Benadetha Rugemalila akikabidhi baadhi ya misaada kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala, Bw Kariamel Wandi wakati Kampuni ya Mabibo Beer wakishirikiana na Wasanii wa Bongo movie walipotembelea Hospitali ya Mwanyamala ikiwa wanaadhimisha miaka mitatu ya Kuanzishwa kwa Klabu ya Bongo Movie.
Wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi mkuu wa Mabibo beer na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMPUNI YA MABIBO BEER YAIDAI TUME YA USHINDANI (FCC) SH.TIRIONI MOJA KWA KINACHODAIWA KUKIUKA MKATABA
11 years ago
Michuzi26 Jul
MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA UMMA 'PSPF' WATOA SEMINA KWA WASANII WA BONGO MOVIE
10 years ago
CloudsFM24 Feb
Nay Wa Mitego awataka wasanii kutoa misaada kwa jamii
“Unajua sisi ni binadamu na kama umefanikiwa kwa kiasi fulani basi na wewe unatakiwa kutoa msaada kidogo ulichokua nacho, hivyo nawaasa wasanii wenzangu kujitolea,” alisema.
Msanii huyo amefanikiwa kufanya vizuri nchini kupitia nyimbo zake kama Akadumba, Nakula ujana na nyinginezo.
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA MABIBO BEER YAIDAI TUME YA USHINDANI (FCC) SH.TIRIONI MOJA
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-s37BgFY42Lk/U2Z8FWP8QdI/AAAAAAAFfYM/ou7Aa3iRadg/s72-c/unnamed+(67).jpg)
wanahabari lindi washerehekea siku ya uhuru wa habari kwa kupima afya na kutoa misaada hospitali
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Kampuni ya Mabibo Beer yaidai Tume ya Ushindani (FCC) Tsh. trilioni moja
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, James Rugemalira akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu kupinga uamuzi wa tume ya ushindani (FCC) na kuidai fidia hiyo ya sh. trilioni moja kutoka na hasara wanayoipata kwa kuruhusu bia ya Windhoek kuingia katika soko la Tanzania ki holela.
Mwenyekiti wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Benedicta James Rugemalira (katikati), akizungumza katika mkutano huo na kusema...
11 years ago
Dewji Blog15 Jul
Maduka matatu ikiwemo nyumba vyateketea kwa moto karibia na Hospitali ya Mwananyamala leo
![1](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/118.jpg)
*******
Moto mkubwa uliosababishwa na hitilafu ya Umeme umewaka eneo la jirani na Hospitali ya Mwananyamala na kusababisha kuungua kwa Maduka matatu pamoja na nyumba moja ambayo ilikuwa imeungana na duka moja wapo ambamo walikuwa wanauza vitambaa na kushona nguo.
Moto huo ulichukua zaidi ya masaa mawili ambapo wakazi wa eneo hilo ndio waliosaidia kwa kiasi kikubwa kuzima...