MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA UMMA 'PSPF' WATOA SEMINA KWA WASANII WA BONGO MOVIE
Mkurugenzi wa mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Adam Mayingu (kushoto) akisalimiana na msanii Rose Ndauka wakati wa semina iliyoandaliwa na mfuko huo kwa ajili ya kutoa elimu na kujiunga katika mfuko huo Dar es salaam juzi (kulia) ni msanii Ester Kiama.
Baadhi ya wasanii wakijadiliana jinsi ya kujaza fomu za kujiunga na mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF'
Mwigizaji na Mchekeshaji ambaye ni Mwenyekiti wa Kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mengere a.k.a 'Steve...
Michuzi