Maduka matatu ikiwemo nyumba vyateketea kwa moto karibia na Hospitali ya Mwananyamala leo
Moto ukiwa umeanza kama utani, watu wakiwa wanaendelea na kazi kama kawaida.(Picha zote na Dar es salaam yetu Blog).
*******
Moto mkubwa uliosababishwa na hitilafu ya Umeme umewaka eneo la jirani na Hospitali ya Mwananyamala na kusababisha kuungua kwa Maduka matatu pamoja na nyumba moja ambayo ilikuwa imeungana na duka moja wapo ambamo walikuwa wanauza vitambaa na kushona nguo.
Moto huo ulichukua zaidi ya masaa mawili ambapo wakazi wa eneo hilo ndio waliosaidia kwa kiasi kikubwa kuzima...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-YAFfqE9PXDQ/U8ULlNRDAPI/AAAAAAAF2UE/cWvvVv0Dir0/s1600/DSC_0128.jpg)
11 years ago
MichuziMoto wa wateketeza maduka matatu na mgahawa mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo
10 years ago
GPLNYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA, DAR
11 years ago
GPLMOTO WATEKETEZA NYUMBA TATU MWANANYAMALA
10 years ago
Mtanzania31 Dec
Moto wateketeza maduka, nyumba Tanga
NA AMINA OMARI, HANDENI
NYUMBA nane na maduka 30 vimeteketea kwa moto baada ya gari la mafuta lenye namba za usajili T 870 NFB kugonga nguzo ya umeme na mafuta kumwagika hali iliyosababisha kulipuka kwa moto.
Moto huo ulitokea jana katika eneo la Kivesa, barabara ya kuelekea Songe wilayani Handeni.
Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliosababisha lori hilo kupinduka na mafuta kumwagika jirani na makazi ya watu kabla ya kuanza kusambaa barabarani.
Wakizungumza na MTANZANIA,...
11 years ago
Habarileo17 Jul
Moto wateketeza nyumba, maduka Dar
NYUMBA moja imeteketea kwa moto na nyingine vyumba viwili wakati moto huo ulipozuka ghafla kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam jana. Katika tukio la kwanza, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema moto uliteketeza nyumba moja yenye vyumba 12 eneo la Mwananyamala A juzi saa 5.30 asubuhi.
11 years ago
MichuziWASANII WA BONGO MOVIE KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MABIBO BEER WATEMBELEA HOSPITALI YA MWANANYAMALA LEO NA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA.
10 years ago
GPLVYUMBA VITATU VYATEKETEA KWA MOTO DAR
11 years ago
Habarileo22 Apr
Moto wateketeza maduka, nyumba ya Mbunge Makilagi
MOTO umezuka mjini Dodoma na kusababisha maafa katika maeneo mbalimbali ikiwemo nyumba ya Mbunge wa Viti Maalumu, Amina Makilagi iliyoteketea na mali mbalimbali.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10