Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOTO WATEKETEZA NYUMBA TATU MWANANYAMALA

Picha tofauti zikionyesha moto ukiteketeza nyumba maeneo ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam Na Gabriel Ng’osha WAKAZI wa Mwananyamala katika…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Moto wateketeza nyumba, maduka Dar

NYUMBA moja imeteketea kwa moto na nyingine vyumba viwili wakati moto huo ulipozuka ghafla kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam jana. Katika tukio la kwanza, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema moto uliteketeza nyumba moja yenye vyumba 12 eneo la Mwananyamala A juzi saa 5.30 asubuhi.

 

10 years ago

Mtanzania

Moto wateketeza maduka, nyumba Tanga

pg1

NA AMINA OMARI, HANDENI
NYUMBA nane na maduka 30 vimeteketea kwa moto baada ya gari la mafuta lenye namba za usajili T 870 NFB kugonga nguzo ya umeme na mafuta kumwagika hali iliyosababisha kulipuka kwa moto.
Moto huo ulitokea jana katika eneo la Kivesa, barabara ya kuelekea Songe wilayani Handeni.
Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliosababisha lori hilo kupinduka na mafuta kumwagika jirani na makazi ya watu kabla ya kuanza kusambaa barabarani.
Wakizungumza na MTANZANIA,...

 

10 years ago

GPL

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA, DAR

Nyumba iliyoteketea kwa moto. Mashuhuda wa tukio wakitazama nyumba iliyoungua.…

 

11 years ago

Habarileo

Moto wateketeza maduka, nyumba ya Mbunge Makilagi

Askari wa Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji mjini Dodoma wakijaribu kuzima moto uliokuwa ukiteketeza jengo lenye maduka ya bidhaa mbalimbali katika Barabara ya Nyerere, mjini humo usiku wa kuamkia juzi. (Na Mpigapicha Wetu).MOTO umezuka mjini Dodoma na kusababisha maafa katika maeneo mbalimbali ikiwemo nyumba ya Mbunge wa Viti Maalumu, Amina Makilagi iliyoteketea na mali mbalimbali.

 

11 years ago

Michuzi

MOTO WATEKETEZA NYUMBA YA MKUU WA WILAYA KILWA

 Na Abdulaziz Video, Kilwa Moto umeteketeza nyumba anayoishi mkuu wa wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Mhe. Abdallah Ulega na kusababisha hasara kubwa ambayo idadi yake haijaweza kufahamika mara moja.   Habari kutoka wilayani humo na kuthibitishwa na Katibu tawala wa mkoa wa Lindi  Bw. Abdala Chikota alisema kwamba moto huo umeteketeza vifaa mbalimbali  ndani ya nyumba ya kiongozi huyo.   Bw. Chikota alisema moto huo umesababisha hasara kubwa.   Alisema kufuatia tukio hilo ofisi ya mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO

Gari ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiwa eneo la Mwanyamala mapema leo mchana,ambapo moto mkubwa umezuka na kuteketeza nyumba nzima na  mali zilizokuwemo,ambazo thamani yake haikujulikana mapema,tukio hilo limetokea maeneo ya Mwananyamala jirani na hospitali ya Mwananyamala.Baadhi ya watu wakishuhudia tukio la Moto lililotokea mapema leo mchana,ambapo moto huo umeteketeza nyumba nzima na mali zilizokuwemo,ambazo thamani yake mpaka Globu ya jamii inaondoka eneo la tukio haikufahamika.

 

11 years ago

Dewji Blog

Maduka matatu ikiwemo nyumba vyateketea kwa moto karibia na Hospitali ya Mwananyamala leo

1 Moto ukiwa umeanza kama utani, watu wakiwa wanaendelea na kazi kama kawaida.(Picha zote na Dar es salaam yetu Blog).

*******

Moto mkubwa uliosababishwa na hitilafu ya Umeme umewaka eneo la jirani na Hospitali ya Mwananyamala na kusababisha kuungua kwa Maduka matatu pamoja na nyumba moja ambayo ilikuwa imeungana na duka moja wapo ambamo walikuwa wanauza vitambaa na kushona nguo.

Moto huo ulichukua zaidi ya masaa mawili ambapo wakazi wa eneo hilo ndio waliosaidia kwa kiasi kikubwa kuzima...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani