MOTO WATEKETEZA NYUMBA YA MKUU WA WILAYA KILWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-2EYesjvKCr4/UychrQmb8wI/AAAAAAAFUMg/qc2rnp5h6TA/s72-c/35fc13c0378a964f04df0c0d4a09563a.jpg)
Na Abdulaziz Video, Kilwa Moto umeteketeza nyumba anayoishi mkuu wa wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Mhe. Abdallah Ulega na kusababisha hasara kubwa ambayo idadi yake haijaweza kufahamika mara moja. Habari kutoka wilayani humo na kuthibitishwa na Katibu tawala wa mkoa wa Lindi Bw. Abdala Chikota alisema kwamba moto huo umeteketeza vifaa mbalimbali ndani ya nyumba ya kiongozi huyo. Bw. Chikota alisema moto huo umesababisha hasara kubwa. Alisema kufuatia tukio hilo ofisi ya mkuu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi16 Mar
NEWS ALERT: NYUMBA YA MKUU WA WILAYA YA KILWA YAUNGUA MOTO ASUBUHI HII
10 years ago
Mtanzania31 Dec
Moto wateketeza maduka, nyumba Tanga
NA AMINA OMARI, HANDENI
NYUMBA nane na maduka 30 vimeteketea kwa moto baada ya gari la mafuta lenye namba za usajili T 870 NFB kugonga nguzo ya umeme na mafuta kumwagika hali iliyosababisha kulipuka kwa moto.
Moto huo ulitokea jana katika eneo la Kivesa, barabara ya kuelekea Songe wilayani Handeni.
Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliosababisha lori hilo kupinduka na mafuta kumwagika jirani na makazi ya watu kabla ya kuanza kusambaa barabarani.
Wakizungumza na MTANZANIA,...
11 years ago
Habarileo17 Jul
Moto wateketeza nyumba, maduka Dar
NYUMBA moja imeteketea kwa moto na nyingine vyumba viwili wakati moto huo ulipozuka ghafla kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam jana. Katika tukio la kwanza, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema moto uliteketeza nyumba moja yenye vyumba 12 eneo la Mwananyamala A juzi saa 5.30 asubuhi.
11 years ago
GPLMOTO WATEKETEZA NYUMBA TATU MWANANYAMALA
11 years ago
Habarileo22 Apr
Moto wateketeza maduka, nyumba ya Mbunge Makilagi
MOTO umezuka mjini Dodoma na kusababisha maafa katika maeneo mbalimbali ikiwemo nyumba ya Mbunge wa Viti Maalumu, Amina Makilagi iliyoteketea na mali mbalimbali.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/BVS-nIfVpmM/default.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-pw3GXJuDHXs/UvtmO4eNnOI/AAAAAAAFMig/YWHlaH5RKJg/s72-c/unnamed+(3).jpg)
NEWS ALERT: NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO KILWA MASOKO USIKU WA KUAMKIA LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-pw3GXJuDHXs/UvtmO4eNnOI/AAAAAAAFMig/YWHlaH5RKJg/s1600/unnamed+(3).jpg)
Familia moja ya Bw Bernad Towele dereva wa Gari la Takukuru Wilayani Kilwa Imenusurika baada ya Nyumba waliyokuwa wakiishi kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia katika mji mdogo wa kilwa masoko.
Akithibitisha kutokea kwa tukio la Ajali hiyo iliyotokea majira ya saa 6 usiku kuamkia leo,Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi,Joseph Mfungomara alieleza kuwa chanzo cha Moto huo bado hakijajulikana ila hakuna majeruhi.
Kamanda Mfungomara alimalizia kuwa Vitu...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Moto wateketeza ghala Vingunguti
GHALA la RK Complex la jijini Dar es Salaam limeungua moto na kuteketea mali zote zilizokuwamo ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alisema moto huo ulizuka juzi...
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Moto wateketeza maduka Tanga
MADUKA manne yameteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme barabara ya 14 jirani na stendi ya mabasi yaendayo mikoani jijini Tanga, usiku wa kuamkia jana. Moto huo uliozuka majira...