Moto wateketeza ghala Vingunguti
GHALA la RK Complex la jijini Dar es Salaam limeungua moto na kuteketea mali zote zilizokuwamo ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alisema moto huo ulizuka juzi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Moto wateketeza ghala la Polisi Moshi
MOTO uliozuka jana katika ghala la Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA), umeteketeza vitu mbali mbali vilivyokuwa katika jengo hilo ambalo limekuwa likitumika kama stoo ya kuhifadhi majora ya...
10 years ago
GPLMOTO WATEKETEZA GHALA LA KUHIDHIA RANGI, KIJITONYAMA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziMOTO WATEKETEZA GHALA LA KUHIDHIA RANGI,KIJITONYAMA JIJINI DAR
Sehemu ya Maduka yaliyokuwa yamezunguka nje...
10 years ago
Vijimambo27 May
MOTO ULIOZUKA KATIKA GHALA LA KUHIFADHIA BIDHAA DAR
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Ghala la viinilishe vya binadamu laungua moto Dar es Salaam
10 years ago
GPLTASWIRA ZA MOTO ULIOZUKA KATIKA GHALA LA KUHIFADHIA BIDHAA DAR
10 years ago
Mtanzania17 Mar
Moto wateketeza hosteli UDSM
NA MICHAEL SARUNGI, Dar es Salaam
WANAFUNZI wawili wanaosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wameumia baada ya moto kuteketeza hosteli za Mabibo Dar es Salaam, walikokuwa wakiishi.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya tukio hilo, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala, alisema moto huo uliteketeza ghorofa ya tatu ya jengo A linalotumiwa na wanafunzi wa kike.
“Tunamshukuru Mungu hakuna maafa yaliyotokea ingawa kuna wanafunzi wawili wamepata matatizo na...
10 years ago
Habarileo08 Feb
Moto wateketeza familia Dar
WATU sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Moto wateketeza mabanda Njombe