Moto wateketeza hosteli UDSM
NA MICHAEL SARUNGI, Dar es Salaam
WANAFUNZI wawili wanaosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wameumia baada ya moto kuteketeza hosteli za Mabibo Dar es Salaam, walikokuwa wakiishi.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya tukio hilo, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala, alisema moto huo uliteketeza ghorofa ya tatu ya jengo A linalotumiwa na wanafunzi wa kike.
“Tunamshukuru Mungu hakuna maafa yaliyotokea ingawa kuna wanafunzi wawili wamepata matatizo na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo17 Mar
Moto waunguza hosteli ya Mabibo UDSM
MOTO mkubwa uliozuka na kuteketeza sehemu ya bweni la wanawake katika Hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zilizopo Mabibo jijini Dar es Salaam, jana uliibua taharuki kwa wanachuo na wananchi waishio jirani na eneo hilo.
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jun
Moto wateketeza soko Mchikichini
NA WILLIAM SHECHAMBO
TAKRIBAN wafanyabiashara 10,000 wa soko la mitumba la Mchikichini lililoko Ilala, Dar es Salaam, wamepata hasara baada ya mali zao kuteketea kwa moto uliounguza soko hilo usiku wa kuamkia jana.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, moto huo ulizuka majira ya saa 4.00 usiku, kwenye vibanda vilivyoko eneo la katikati ya soko hilo.
Walisema muda mfupi baadae, moto huo ulishika kwenye vibanda vingine na kuanza kusambaa kwa kasi kutokana na uwepo wa bidhaa za nguo...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Moto wateketeza ghala Vingunguti
GHALA la RK Complex la jijini Dar es Salaam limeungua moto na kuteketea mali zote zilizokuwamo ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi, alisema moto huo ulizuka juzi...
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Moto wateketeza maduka Tanga
MADUKA manne yameteketea kwa moto kutokana na hitilafu ya umeme barabara ya 14 jirani na stendi ya mabasi yaendayo mikoani jijini Tanga, usiku wa kuamkia jana. Moto huo uliozuka majira...
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Moto wateketeza msikiti wa Hindu
MOTO umezuka juzi maeneo ya Olimpio kata ya Upanga na kuteketeza jengo la msikiti wa dhahabu la hindu ulioko katika mtaa huo na kuunguza vitu mbalimbali vilivyomo ndani yake. Akizungumza...
10 years ago
Habarileo08 Feb
Moto wateketeza familia Dar
WATU sita wa familia moja akiwamo Kapteni mstaafu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ), wamekufa papo hapo baada ya kuteketezwa kwa moto jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Moto wateketeza mabanda Njombe
11 years ago
Habarileo17 Jul
Moto wateketeza nyumba, maduka Dar
NYUMBA moja imeteketea kwa moto na nyingine vyumba viwili wakati moto huo ulipozuka ghafla kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam jana. Katika tukio la kwanza, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius Wambura alisema moto uliteketeza nyumba moja yenye vyumba 12 eneo la Mwananyamala A juzi saa 5.30 asubuhi.
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Moto wateketeza bweni Sekondari ya Erikisongo
WANAFUNZI 100 wa Shule ya Sekondari ya Erikisongo wilayani Monduli mkoani Arusha, wamenusurika kifo baada ya vyumba vitano vya bweni lao kuteketea kwa moto jana asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha...