Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moto wateketeza bweni Sekondari ya Erikisongo

WANAFUNZI 100 wa Shule ya Sekondari ya Erikisongo wilayani Monduli mkoani Arusha, wamenusurika kifo baada ya vyumba vitano vya bweni lao kuteketea kwa moto jana asubuhi. Imeelezwa kuwa chanzo cha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Bweni la shule ya Sekondari Erikisongo Wilayani Monduli lateketea kwa moto leo

Kiasi cha wanafunzi 100 wa shule ya sekondari ya Erikisongo wilayani Monduli wamenusurika kifo baada ya vyumba vitano vya mabweni yao kuteketea na moto leo (Jumatano) asubuhi.
Moto huo ambao inaelezwa chanzo chake ni hitilafu ya umeme ilitokea wakati wanafunzi wote wako darasani.
Hakuna mtu yoyote aliyedhurika lakini mali kadhaa za wanafunzi zimeteketea. Kikosi Cha zimamoto kutoka Arusha kilifika wakati tayari mabweni hayo yameshateketea.
Mbunge wa Jimbo la Monduli Mh Edward Lowassa...

 

10 years ago

Vijimambo

MOTO WATEKETEZA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI IDODI, IRINGA


MOTO mkubwa ambao chanzo chake kinatajwa kuwa ni hitirafu ya umeme umeteketeza bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Idodi wilaya ya Iringa mkoani Iringa .Tukio hilo limetokea muda wa saa 4 jana asubuhi wakati wanafunzi wakiwa madarasani wakiendelea na masomo.Kamanda wa jeshi la Zimamoto Mkoani Iringa, Inspekta Kennedy Komba alisema kuwa bweni hilo limeteketea lote na kuunguza mali zilizokuwamo kwenye bweni hilo na chache kuokolewa na wananchi waliowahi kufika eneo la tukio kusaidia...

 

10 years ago

Mwananchi

Moto wateketeza bweni la wanafunzi wa kike Dar

Jengo  la ‘Block B’  la Hostel za Mabibo,  za wanafunzi wa kike wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), jijini hapa limeungua kwa moto na kuteketeza vifaa na mali kadhaa  za wanafunzi waliokuwa wakiishi kwenye jengo hilo.

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZZ: MOTO WATEKETEZA BWENI SHULE YA AFRICAN MUSLIM MJINI MOSHI HIVI SASA

 Bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari ya African Muslim iliyopo Laloleni manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro linateketea kwa moto hivi sasa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wamesema moto huo umeanza majira ya saa 2 za usiku huku chanzo chake bado hakijajulikana na ripota wetu Dixon Busagaga aliye eneo la tukio anafuatilia ajali hii na atatujulisha kila kitachojiri na kupatikana.Kikosi cha zimamoto kimefanya jitihada za kuzima moto huo licha ya kukabiliwa na changamoto ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanafunzi Njombe wateketeza bweni

Shule ya Sekondari ya Wavulana Njombe (Njoss) iliyoko mjini hapa, imefungwa kuanzia jana hadi Novemba 8, mwaka huu, baada ya wanafunzi kuchoma moto bweni, karakana na kuharibu mali mbalimbali za shule na walimu.

 

11 years ago

Mwananchi

Bweni sekondari Tabora laungua

Bweni moja la Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Petro Manispaa ya Tabora, limeungua na kuteketeza mali za wanafunzi ambazo thamani yake haijajulikana.

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yaelekeza uendeshaji wa sekondari zake za bweni

SERIKALI inatarajiwa kutoa utaratibu wa namna wanafunzi wa shule za Serikali za mabweni, watakavyosoma huku ikionya wakuu wa shule watakaodai ada au michango ya aina yoyote, kwamba watachukuliwa hatua ikiwemo kufukuzwa kazi.

 

10 years ago

Michuzi

TANAPA YAJENGA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI KISHUMUNDU.

Mkuu wa mkoawa Kilimanjaro Leonidas Gama akisalimiana na baadhi ya wananchi wakati alipowasili katika shule ya Sekondari Kishumundu kwa ajili ya hafla fupi ya makabidhiano jengo la Bweni la wasichana lilojengwa kwa ufadhili wa Hifadhi za Taifa Tanzania ,(TANAPA). Viongozi mbalimbali walioambatana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama pamoja na wanafunzi wa shule ya Sekondari Kishumundu wakiimba wimbo wa Tanzania wakati wa hafla ya makabidhiano ya jengo la Bweni la wasichana...

 

10 years ago

GPL

MOTO WAHARIBU BWENI LA WANAWAKE MABIBO, DAR

Wanafunzi wakiwa nje ya jengo lililoungua wakati wakitafakari pakwenda. Sehemu ya paa la jengo hilo iliyoungua. Baadhi ya vitu vilivyookolewa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani